Umeenda hospital gani kupima,?Wakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Ungekuwa karibu au dar ungeenda muhimbili, we nenda katibiwa kcmc, hiyo dalili sio nzuri ya kutoa utelezi kooni.Kaloleni Arusha mkuu
Asante mkuu kwa ushauriHauna tabia ya kunyonya sehemu za siri za wanawake, maana hii tabia imechangia sana watu kupata magonjwa ya kinywa miaka hii halafu mkienda hospital hamsemi kila kitu unasema tu umepata hali fulani ila hausemi tabia zako.
Kimsingi hiyo mucus ni bodily fluid ambayo hubehave kama trap ya kuzuia bacteria wabaya wasishuke zaidi mwilini kuelekea tumboni.
Hapo ni kama ulimbo kwahiyo bakteria watabakia katika huo ute then ukikohoa au kubanja utatema na ndio namna immunity system ya mwili wako inafanya kazi kukulinda.
Shukrani ziendee tonsils hapo kooni maana ndizo hutoa taarifa ya uwepo wa bacteria eneo la kinyani.
Kuna uwezekano umevuta hewa chafu eneo fulani hali ambayo imetengeneza uwepo wa bacteria eneo la kooni au unaweza kuwa umefanya oral sex au umekutana na kinywa cha mtu anayefanya oral sex maana siku hizi vijana mnajifanya mafundi mnapigana deki hadi njia ya haja kubwa matokeo yale mnachota bakteria hatari sana ambao hata hawakutarajia kuuona mdomo ila umewakaribisha.
Tema hayo makohozi tafuta maabara yapeleke wakayatazame yanabakteria gani. Peleka maabara hata tatu tofauti wakupe majibu ya sampuli ya hayo makohozi (mucus) yametrap bacteria gani hapo koromeloni.
Nenda chap ili ujue. Usisahau kutuletea mrejesho hapa.
kapime TBAsante mkuu kwa ushauri
Wakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Habari!
Bado kunakuwa na mahitaji zaidi ya historia na ukaguzi ili kujua hitimisho.
Post nasa drip inaweza kuwa sababu ya msingi ya tatizo lako.
Ingawa ni muhimu pia kujua:
1: Umekuwa na shida kwa muda gani?
2: Rangi ya mafua vs makohozi ikoje?
Hii ni kwa sababu kuna sababu nyingine zinazoweza kuambatana/kusababisha hilo mfano:
1: Allergy
2: Virusi
3: Sinasitisi/Sinusitis
4: GERD
NB: Yote hapo juu yaweza kuwa complicated/kuambatana na maambukizi ya bacteria pia, ambayo mara nyingi husababisha harufu mbaya.
Hivyo, historia nzuri pamoja na dalili mwambata na ukaguzi wa koo na sinus vyaweza kusaidia sana.

Asante sana mkuu
Labda nijibu maswali yako...
Swali la (1)
Nimekuwa na tatizo takribani miaka mi tano sasa.
Swali la (2)
Makohozi yana rangi ya njano muda mwingine meupe yenye chembe chembe ya vijiwe vidogo sana
1: Ukiinama kama unaokota kitu chini, unasikia nini kwenye kichwa hasa upande wa mbele?
2: Unapata shida yoyote ya balance, mfano: ukinyanyuka ili utembee?
3: Huwa unajisikia wepesi wowote wa mwili?
4: Huwa kuna wakati unapata kichwa kuuma?
Tafuna tangawizi na kitunguu swaum Kila siku asubuh na jioni , iyo Hali itaisha mkuu , ukihisi unawashwa sana unapozea na asali mkuu ,tatizo litaishaWakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Inaelekea zaidi kwenye Chronic Rhimosinusitis. Nita update1) naskia kichwa kinavuta kuja mbele
2)ndiyo kuna muda nahisi kupepesuka
3)hapana
4)ndiyo
Ila ndio uache kuzama chumvini mkuu , sio salama Kwa afyaAsante mkuu kwa ushauri