Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

Umenikumbusha stori ya jamaa mmoja wakati tupo vijana jamaa alikua akilala kumuamsha ni mbinde. Mnaweza muamsha akaamka, akaanza kutembea huku amelala, akianza safari ni mpaka mumwagie maji ndio anazinduka. Mkimuacha anaweza tembea hata m500 amelala, na hajui anaeda wapi
 
Wenzako hawalali na watoto tafuta pesa mtoto analala peke ake kitanda chake pembeni ya wazazi TAFUTA HELA UTAKULA MATEKE MPAKA YA USO
 
Hata sijui yeye. Kuna mwingine aliwahi amka usiku akatembea kwenda toilet akiwa amelala, akaja kuzinduka amedondoka chooni kang’oka na jino. Ni aina flan za watu hawaelezeki hivi.

Ila hawa ni tofauti na mtoto wa mtoa mada. Huyo wa mtoa mada ni mlalavi tu. Hata sisi utotoni timesemwa sana lqa kurushia mateke tulio lala nao
 
Hivi hili tatizo la mtoto kua na uwalaza(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike.

Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha ukimulaza peke ake lazima umkute uvunguni kadondoka,pia ukilala nae ni full mateke,mara kakulalia wewe,kakuwekea miguu yaani ni vurugu match ata silali Kwa Raha nikapumzika.

Yeyote ambae alishawahi kua na mtoto mwenye shida kama hii alifanyaje fanyaje mpaka likaisha wakuu.
Sio tatizo bali tatizo malezi mabovu jen zii, mimi nilikuwa hivyo tukikuwa tunala kwenye vitanda vya chuma spring kama vya wakimbizi walikuwa hawalali ni mwendo wa kunesa na kuruka kama Scania za barest fyu fi fu FYI nyeke nyeke nyiiii nyiu. Ni vibao tu vilinifanya nikawa Natalie fadha akiingia Ata spring ikubane kende ni kimyaaa
 
Hata sijui yeye. Kuna mwingine aliwahi amka usiku akatembea kwenda toilet akiwa amelala, akaja kuzinduka amedondoka chooni kang’oka na jino. Ni aina flan za watu hawaelezeki hivi.

Ila hawa ni tofauti na mtoto wa mtoa mada. Huyo wa mtoa mada ni mlalavi tu. Hata sisi utotoni timesemwa sana lqa kurushia mateke tulio lala nao
Nikweli ni ulalavi wewe ndo umenisanua Sasa mods naombeni mnisaidie kurekebisha heading isomeke ulalavi na sio uwaraza hapo ndo nimechanganya watu hawaelewi
 
Back
Top Bottom