Tatizo la msemo wa mvumilivu hula mbivu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la msemo wa mvumilivu hula mbivu....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Oct 29, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hausemi ni muda gani uvumilie ili ule ule zinazoitwa mbivu, pia hautoi uwezekano wa kukosa au kula zilizooza.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  yamekukuta mkuu nini?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Kiswahili ni kigumu kuliko Ki Esperanto
   
 4. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu baada ya kukata tamaa na kuacha kumfatilia, anadai sina uvumilivu na ndivyo anavyowaambia wenzake. Sijui ilibid nivumilie mpaka lini ndipo nionekane mvumilivu.
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hilo neno lilinifanya nikambaka mpenzi wangu, tena bafuni kwa mkwe. Nimevumilia without specific deadline
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  umenichekesha kweli, uvumilivu usio na deadline? Mwisho wa sikt atakuita zoba.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kweli mkuu, hili neno mvumilivu hula mbivu kwenye mapenzi doesn't apply!
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​na NGOJA NGOJA yaumiza matumbo
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sometimes babu zetu walipokua wanatunga misemo unajiuliza mtu hivi kulikua na two schools of thot?? Kwamba kundi hili likisema "mvumilivu hula mbivu" the other side wanasema "ngoja ngoja huumiza tumbo"...
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh! jamani hamna subra vijana ungesubiri angekujia mwenyewe tena akija mwenyewe ndio unakula vitamu kuliko ukiwa na pupa.....
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ni full mikanganyiko, hapo hapo utbmbiwa "haraka haraka haina baraka"
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu kuna kungoja milele then unakufa bila kelele kama wafuasi wa kibwetele.
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ulitakiwa uvumilie hadi amchoke anayemkosha kwa sasa...
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  she is single lady mkuu
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndg. Ila pengine kweli ulikuwa unataka kufakamia hata bila ya kunawa.
   
Loading...