Tatizo la moyo kuripuka

Tatizo la moyo kuripuka

nenda hospitali ukapimwe blood pressure,
inaweza kuwa pressure iko juu
punguza kahawa, vyakula vya chumvi nyingi na mafuta, na acha sigara, na pombe
 
Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
Una mafuta mengi mkuu…na uhakika haufanyi mazoezi. Ukifanya mazoez ya kutoa jasho (mfano kukimbia, push ups n.k) kila siku kwa muda wa mwezi mmoja tu, hutakisia ilo tatizo wala ugonjwa mwengine wwte.
 
Una mafuta mengi mkuu…na uhakika haufanyi mazoezi. Ukifanya mazoez ya kutoa jasho (mfano kukimbia, push ups n.k) kila siku kwa muda wa mwezi mmoja tu, hutakisia ilo tatizo wala ugonjwa mwengine wwte.
Nimeanza mazoezi kdg kdg
 
Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
Fanya mazoezi na epuka kula vyakula vyenye mafuta sana

Hasa chips, bila shaka mto mada vyakula vyako ni chips mayai, vitumbua na soda soda si ndio??
 
Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
Stress au wasiwasi (Anxiety): Wakati unapokuwa na wasiwasi au mawazo mengi, mwili wako unaweza kuwa na dalili za kimwili kama vile kupiga moyo kwa haraka au kushituka. Hii ni kawaida kwa watu wanapokutana na mabadiliko ya kihisia au hali ya wasiwasi.
Mabadiliko ya homoni: Kama uko kwenye kipindi cha mabadiliko ya umri (kama vile kuingia kwenye puberty), homoni zako zinaweza kusababisha mabadiliko katika mfumo wako wa mwili, na hii inaweza kuleta dalili kama hizi.
Kuwachanganyikiwa au kuwa na mawazo mengi: Wakati mwingine mawazo mengi yanaweza kupelekea hisia za kushituka au hisia za mabadiliko yasiyo ya kawaida katika mwili.
Tatizo la afya (Heart palpitations): Katika hali nadra, kupiga moyo kwa haraka au kushituka bila sababu inaweza kuwa dalili ya tatizo la moyo. Ikiwa hali hii inaendelea au inaumiza, ni muhimu kufanyiwa uchunguzi na daktari.
 
Nilishawahi kuwa na hiyo shida hospitali nikaishia kupewa dawa za pressure. Baada ya kujiongeza mwenyewe nilipata data.

Heart palpitations ina sababishwa na upungufu wa magnesium mwilini,tafuta Magnesium glycinate supplement utumie kwa miezi mitatu.

Pia kula sana Magnesium rich foods kama parachichi,mbegu za maboga,ndizi za kuiva, chocolate nyeusi nk. Hiyo shida itaisha.
 
Waweza kuwa na madonda ya tumbo (ulcers), wakati mwingine huleta tatizo la mshituko wa moyo au umeme wa ghafula na pengine ukosefu wa usingizi. Kacheki hilo. Ni makosa kutumia dawa za moyo/pressure/usingizi kabla ya kuthibitisha Kwa daktari Kwa njia ya vipimo.
 
Back
Top Bottom