tatizo la moyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Moyo kwenda mbio na kusikia kelele Masikioni

    Habri za siku nyingi vipendhy nimerudi tena mgonjwa wenu baadhi ya siku napatwa na hali ya moyo kwenda mbio sana na maskio km yanalia ziiiiiiii na nilishawahi kupima ecg nikaambiwa ipo normal kitu gan natakiwa nipime tena mana hii hali inajirejea naweza kukaa siku 6 ya 7 nikapata iyo hali mda...
  2. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Tatizo la moyo kuripuka

    Habari wana jamii forum naomba kupewa mawazo juu hali nilonayo moyo huwa unaniruka na baadhi ya muda kushtuka ata km hakuna kitu cha kushtuka hii inatokana na nini?ahsanteni
  3. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nusura nife kwa tatizo la moyo kisa matumizi ya smartphone hadi usiku wa manane!

    Habari ndugu na dada zangu. Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee! Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
  4. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, X Ray haioneshi kitu

    Wakuu habari, nilienda hospitali, Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale. Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia...
  5. kwisha

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana nina tatizo la moyo?

    Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi? Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi. Au nikinyanyua kitu kizoto Na kukaa chini kwa mda mrefu pamoja Na kusimama kwa mda mrefu. Na maumivu hayo Mara...
Back
Top Bottom