Tatizo la modem za vodacom kwa huku Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la modem za vodacom kwa huku Mbeya

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by capito, Apr 12, 2012.

 1. capito

  capito JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa Mbeya kwa muda wa miezi miwili sasa. Modem za vodacom zinasumbua sana, connection ni tatizo na hata iki connect inakuwa slow sana mpaka inachosha. Tatizo jingine unaweza kununua vodabomba ya siku 30 lakini cha ajabu unakosa connection kabla ya hizo siku 30 kutimia. Nimejaribu kutembelea vodashop za hapa Mbeya kuwaelezea tatizo majibu niliyopewa ni kwamba niandike barua kuelezea tatizo langu ili wao wawe na reference wanapo report makao makuu jambo ambalo sikuona kama ni good customer service.
  Wakuu naomba kuuliza kama tatizo hili kwa sasa lipo na sehemu nyingine au ni Mbeya peke yake, pia napenda kama kuna wahusika wa vodacom wafanyie kazi suala hili.
  Naomba kuwasilisha
   
 2. selmah

  selmah Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  sio mbeya tu,hata huku kaskazini ni hivo hivo ...modem inaonesha 'connected' but nothing opens..yani hamna page yoyote inayo-load. Its been a month now..labda kubadili modem tu,manake mambo ya kuandika barua kweli should it take such a long process?
   
 3. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kwanin mkuu uwe adikited na voda?hama faster wanaanza kukopulikeiti tena eti mabarua?ya nini?,chukua kitu nyingne..hyo tandao ikirejea unaendeleza kama kawaida..Zantel mwake mwake..
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ttcl hawajitangazi lkn wapo, tafuta mordem za ttcl hilo tatizo litakuwa ni historia kwako.
   
 5. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Tatizo la poor connection au off-line sio la modems tu. Sisi tunaotumia simu hapa Mbeya limekuwa tatizo kubwa. Connection imekuwa on/off kwa siku nyingi na hata ikiwa on ama speed ya konokono au hakuna loading kabisa. Nikitoa sim card ya voda na kuweka zantel hali ni ileile au nafuu kidogo.
   
 6. wise dide

  wise dide Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hwapendi tu kusema ukweli kwa hofu ya kupoteza wateja ila tiGO wako open kimtindo kwa pale mby as jamaa alinambia kuwa just wanatangaza tu ktk media ila MBEYA hakuna 3G ndo mana tiGO & Airtel zinazingua kupitiliza bora kidogo vodcom ina speed ya KINYONGA!!MBEYA ni kwetu ila YATAKA MOYO aiseeeeeh....
   
 7. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wewe mbeya upo sehemu gani mimi mbona 3g naipata fresh huku uyole
   
 8. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Jamani msilalamike na Voda tu Angalieni ni Network ipi mnapata hasa kwa kuangalia Taa ya modem. Kama ni Green hiyo ni 2G au Edge. Kama ni Blue hiyo ni 3G. Mie naona kama hampati 3g kwenye location mlizopo.
   
Loading...