:-( tatizo la mkopo :-(

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
wana Jf nlckia kuna safari ya kwenda kwa wazr mkuu leo kwa wale walokosa mkopo, naomba mnijuze klchojir huko
 
Waliandika barua wakaiwasilisha, wameambiwa majibu ni jumatatu tar.3.
 
Back
Top Bottom