Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba


vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
Helloww jf doctor!nawasabahi!
Well me nina siku ya pili sasa,nahis maumivu kwenye kiungio cha kiuno na kalio,yan nikigusa panauma kama nimepgwa,af miguu inauma kwa ndani from gotini ad nyayo,na zinawaka moto,ad ukigusa nyayo za moto! Basi ndo mwili wote unachoka!et tatizo nini?
Pole sana ndugu, unaugonjwa huitwao ngili ya uti wa mgongo (herniated disc), nenda hospitalini kama uko dar MOI haraka sana. unaweza paralyse miguu. wahi si mchezo.
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,069
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,069 1,195
kwa haraka tu ni kwamba una ngili ya mgongo (herniated disc). ni ugonjwa unaobana neva za miguuni na kusababisha maumivu makali. nenda haraka hospitalini lka sivyo utaparalyse miguu na hata sehemu za siri hata sphincter za ******.
Im really shocked! First thing in the morning kesho kwakweli! Dah
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,069
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,069 1,195
pole sana ndugu, unaugonjwa huitwao ngili ya uti wa mgongo (herniated disc), nenda hospitalini kama uko dar MOI haraka sana. unaweza paralyse miguu. wahi si mchezo.
Kwakwel,im shocked! Tatizo linatokana na nin?
Je linaambukiza?coz my sister alishapatwa na ugonjwa wa pingili za uti wa mgongo,.je inahusiana?
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,064
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,064 2,000
Helloww jf doctor!nawasabahi!
nyayo,na zinawaka moto,ad ukigusa nyayo za moto! Basi ndo mwili wote unachoka!et tatizo nini?
Kwa tatizo la

nyayo kuwaka moto mimi nitakusaidia Dawa Mbadala jaribu kutafuta Hina uwe unapaa kwenye hizo nyayo zako inshallah hayo matatizo ya kuwaka moto yataondoka kuhus hayo matatizo ya kiuno kama alivyosema Mwenzangu Mkuu vicent

tibaijuka
ingelikuwa vizuri kabla hujaja hapa kuulizia maradhi yako jaribu kuenda Hospitalini huko kuna vipimo wakupime ili waweze kujuwa una matatizo gani kisha ukitumia Dawa na ukaona hazija kuponesha au hukupata nafuu yoyote ile ndio unaweza kuja hapa na kuuliza zaidi na kupewa ushauri nakupa hizo nasaha zangu.
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,069
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,069 1,195
Kwa tatizo la

nyayo kuwaka moto mimi nitakusaidia Dawa Mbadala jaribu kutafuta Hina uwe unapaa kwenye hizo nyayo zako inshallah hayo matatizo ya kuwaka moto yataondoka kuhus hayo matatizo ya kiuno kama alivyosema Mwenzangu Mkuu vicent

tibaijuka
ingelikuwa vizuri kabla hujaja hapa kuulizia maradhi yako jaribu kuenda Hospitalini huko kuna vipimo wakupime ili waweze kujuwa una matatizo gani kisha ukitumia Dawa na ukaona hazija kuponesha au hukupata nafuu yoyote ile ndio unaweza kuja hapa na kuuliza zaidi na kupewa ushauri nakupa hizo nasaha zangu.
asante sana mkuu
 
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
3,772
Points
1,225
georgeallen

georgeallen

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
3,772 1,225
Wakati ukiendelea kutekeleza ushauri wa waungwana hapo juu, unaweza kuanza kutumia neurobion forte tabs 1x2 zitakusaidia.
 
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
Im really shocked! First thing in the morning kesho kwakweli! Dah
it's serious disease! try bto get neurosurgeons!! if cant get them get prepared to India. sure it's difficulty to treat it but you can get some advice. avoid heavy duties and high heel shoes etc. you should train oftenly but not heavily. get well soon!
 
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
wakati ukiendelea kutekeleza ushauri wa waungwana hapo juu, unaweza kuanza kutumia neurobion forte tabs 1x2 zitakusaidia.
Na-support hiyo dawa lakini haiponyi, kwani hii ni aina ya vitamin group B, ni kufanya neva kuwa imara. maumivu yatakuwa palepale. Tumia brufen kama unamaumivu. na kama unamatatizo ya tumbo kama vidonda kamwe usitumie brufen kwa itasababisha maumivu makali na hata internal bleeding!
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,069
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,069 1,195
na support hiyo dawa lakini haiponyi, kwani hii ni aina ya vitamin group B, ni kufanya neva kuwa imara. maumivu yatakuwa palepale. Tumia brufen kama unamaumivu. na kama unamatatizo ya tumbo kama vidonda kamwe usitumie brufen kwa itasababisha maumivu makali na hata internal bleeding!
Nimeenda hosptal,nimepima stool,urine na blood kubwa.nkaambiwa nna ulcers!!kwakuw n ckukuu,wameniambia nisubir nipime maji ya ut wa mgongo!wamenipa pain killerz tu
 
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
nimeenda hosptal,nimepima stool,urine na blood kubwa.nkaambiwa nna ulcers!!kwakuw n ckukuu,wameniambia nisubir nipime maji ya ut wa mgongo!wamenipa pain killerz tu
Sawa. unatakiwa ufanyiwe kipimo kinaitwa CT au hata x-ray ya uti wa mgongo inaweza ona kama kuna hitilafu katika pingili za mgongo. lakini sahihi zaidi ni CT. kama una ulcers kuwa mwangalifu na hizo pain killers. zitumie baada ya chakula na pia tumia, pia tumia dawaza anti acid kama vile ranitidin nk. ebu niambie umeenda hospital gani?
 
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
nipo mkoani(tabora),nlienda private inaitwa Vanesa ndo wakanipa majibu ayo ya ulcers,nikaamishiwa hosp ya mkoa,ya Kitete.ndo nipo hapa,wameniambia nisubiri kesho kwa kipimo cha maji ktk uti wa mgongo.mpaka sasa wamenipa drip plain tu,na nashndwa kabisa kukaa,nalala tuu.na hapa kifuan katkat ya maziwa pamevimba na hata kwa nje nkibonyeza panauma,the same to katka kiuno na mgongo.
Kwangu mimi sijui kwanini wamekuwekea drip! kipimo ja maji ya mgongo(spinal puncture) ni kupoteza muda tu. hata dignosis ya ulcers ninamashaka nayo kutokana na vipimo ulivyotoa huko. kama ni damu ilikuwa kwenye stool si lazime iwe ulcers. fuata ushauri wangu hapo juu. nakuambia hivi kwani naujua ugonjwa huu. na ikibidi utatakiwa kufanyiwa operation, ambayo ni ngumu sana.
 
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Messages
3,069
Points
1,195
Swts

Swts

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2012
3,069 1,195
kwangu mimi sijui kwanini wamekuwekea drip! kipimo ja maji ya mgongo(spinal puncture) ni kupoteza muda tu. hata dignosis ya ulcers ninamashaka nayo kutokana na vipimo ulivyotoa huko. kama ni damu ilikuwa kwenye stool si lazime iwe ulcers. fuata ushauri wangu hapo juu. nakuambia hivi kwani naujua ugonjwa huu. na ikibidi utatakiwa kufanyiwa operation, ambayo ni ngumu sana.
Asante mkuu bila shaka we ni doctr,ngoja niwambie wapime iyo ct ama xray nijue wat nxt,kwakel nateseka.na stool haikuw na damu.
 
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
274
Points
0
vicent tibaijuka

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2012
274 0
asante mkuu bila shaka we ni doctr,ngoja niwambie wapime iyo ct ama xray nijue wat nxt,kwakel nateseka.na stool haikuw na damu.
Mimi ni dk, ila niko nje ya nchi, napenda kusoma hii jf. hivi karibuni nitarudi nyumbani
 
Mbushuu

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
1,654
Points
2,000
Mbushuu

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
1,654 2,000
Habari wanajamvi,nna wiki kama ya pili ivi nmekuw nksumbuliwa na tatzo la kushkwa na ganzi kwenye kidole cha mguuni.Tatizo hili hutokea hasa nnapokuw naamka asubuh au nnapokuw nmetulia kwa mda mrefu,nmejarbu kuonana na daktar akaniambia ni kwa sababu ya baridi(nipo mwanza) so akanipa vitamin B ila bado tatzo lnaendelea,naomben msaada wenu
 
Micro E coli

Micro E coli

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
942
Points
195
Micro E coli

Micro E coli

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
942 195
Nitatizo la mishipa ya fahamu(neuropathy)matatizo haya maranyingi huanza polepole huwapata zaidi watu wenye kisukari au baadhi ya watu wanaotumia dawa za TB na matibabu yake huwa niya muda mrefu hata ugonjwa wenyewe hupona taratibu sana inaweza kuchukua miezi au hata miaka kutegemeana na mishipa ilivyo athiriaka au isipone kabisa,jitahidi kumeza Neurobiam vidonge kwa muda mrefu mkuu.
 
Mbushuu

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
1,654
Points
2,000
Mbushuu

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
1,654 2,000
Tnx kaka,ntatafuta ivo vdonge,vip madhara ya hili tatizo
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,064
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,064 2,000
You must have often noticed a sensation in you hands and feet that feels like needle pricks (Paresthesia). This sensation, known as numbness, can be experienced when pressure is applied to your hands or feet and when they remain in the same position for a long time. Numbness and tingling that lasts from a few seconds to a few minutes is considered to be absolutely normal. However, numbness that is extreme and lasts for several hours is a serious concern and should not be ignored. This kind of numbness may be caused due to various factors and an appropriate diagnosis of numbness in hands and feet causes is essential for its proper treatment. Let's have a look at the possible causes and treatment of numbness and tingling in hands and feet.

Causes of Numbness in Hands and Feet


Numb hands and feet can be caused due to various reasons ranging from nutrition to a serious illness or a nervous system disorder. Listed below are a few of the most common causes of numbness in hands and feet.

Anxiety and Migraines
Two of the most common causes of numbness in feet and hands are an anxiety attack or an impending migraine. Anxiety in a person leads to certain physiological changes like an increased heart rate and shallow breathing, as well as numbness. Similarly the onset of a migraine is usually accompanied by numbing and heaviness in the hands, feet, the neck and mouth.

Vitamin Deficiency
Deficiency of essential vitamins like vitamin B5, B6 and B12, vitamin A and vitamin D can cause numbness in hands and feet along with cold hands and feet, fatigue, muscle weakness and loss of sensation. It is therefore extremely necessary to consume the right vitamin for feet numbness as well as numbness in hands.

Diabetes
Numbness in hands and feet is an important symptom of diabetes, especially type II diabetes. The high blood sugar and glucose levels of diabetics causes the nervous system to malfunction and eventually leads to its damage.

Multiple Sclerosis
Numbness in hands and feet while sleeping is an important symptom of multiple sclerosis, especially during its initial stages. Multiple sclerosis is characterized by the gradual loss of the myelin sheath which is a protecting covering of the nerve cells. This leads to nerve damage, also known as neurodegeneration and is responsible for the numbness.

Transient Ischemic Attack (TIA)
The transient ischemic attack, also known as a mini stroke, is a disorder caused by the temporary loss of blood supply to the brain thereby interrupting brain function. Numbness in hands and feet on either side of the body that lasts for less than an hour or two is a symptom of this disorder.

Raynaud's Syndrome
Raynaud's syndrome is a disorder in which blood vessel spasms are experienced either due to a very low temperature or due to a sudden, strong emotional outburst. The spasms block or restrict the blood flow to areas like the fingers and feet which leads to numbness in the fingers and toes.

Carpal Tunnel Syndrome
Carpal tunnel syndrome is caused by an injury to the nerves around the wrist. Forearm and left arm numbness are two of the most important signs of this disorder.

Angina
Angina is a disorder characterized by reduced oxygen supply to the heart due to thickening of the arteries. Left side numbness accompanied by certain amount of pain is an important symptom of this disorder.

Peripheral Artery Disease
Peripheral artery disease is a disorder caused due to the accumulation of plaque, which is a fatty substance, in the arteries. This accumulation leads to the narrowing and hardening of the arteries which restricts the flow of blood. Numbness in fingers, arms and feet along with cold hands and feet are important symptoms of this disease.

Other Causes
There are several other causes that can lead to a numbing sensation in the hands and feet. Some of these include, insect and animal bites, as a side effect of certain forms of medication, nerve damage brought on by tobacco, alcohol and lead and more.

Treatment of Numbness in Hands and Feet

Getting rid of numbness in hands and feet will require the treatment of the condition or disease due to which it is being caused. Thus depending on the condition that has led to the numbness, the treatment can be prescribed by a doctor. Once the cause is dealt with, the numbness and other accompanying symptoms will be taken care of as well.

One can always try stretching the muscles out as well as massaging the area. Stretch the feet and hands such that the muscles are allowed to breathe. This will improve the blood circulation. Similarly, when one begins to experience this numbing sensation, one can begin massaging the area, either with oil or by simply applying pressure with fingers. This will also lead to an increase in the blood flow and could thereby get rid of the numbness. Another method that can be used is to use a hot compress on the area that feels numb. Exercise and massage therapy too can be helpful in eliminating numbness.

But, like we mentioned at the beginning of the article, if the numbness is constant then it needs to be checked and a proper diagnosis carried through by a specialist. It has to be noted that in certain conditions like multiple sclerosis (which is difficult to treat) certain amount of numbness and loss of sensation is experienced all the time and might not be treatable.

Now that you know the causes of numbness in hands and feet, if you experience similar sensations for more than a day or two, make sure you consult a doctor. Ignoring this symptom will only worsen the underlying disorder and hence, it is essential that you get it diagnosed and treated.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,064
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,064 2,000
Tumia VITAMIN B-12 itakusaidia kupona kwa hayo matatizo yako na uwe unakula sana, chicken, meat, fish, peanuts, milk, eggs, green leafy vegetables and fortified breakfast cereals. ( kuku, nyama,samaki, karanga,maziwa,mayai, mbogaza majani na nafaka yenye maboma kifungua kinywa Asubuhi kila siku ) hiyo itakusaidia matatizo ya kufa ganzi vidole vya miguu kuondoka.


WHAT B VITAMINS HELP NUMB FINGERS?


Photo Credit Ablestock.com/AbleStock.com/Getty ImagesIf you experience numbness in your fingers, see a doctor. A vitamin B deficiency may cause nerve damage that shows up as numbness in your fingers. But such numbness could stem from a number of medical conditions. After examining you and taking appropriate tests, a doctor might recommend that you take a vitamin B supplement. It could prove dangerous to self-medicate with vitamin B, so always work with your doctor to determine what, if any, supplements are right for you.
VITAMIN B-12 AND NUMBNESS

If you eat a diet that regularly includes animal products, you probably get enough vitamin B from food. You can obtain most of the B vitamins if your diet includes chicken, meat, fish, peanuts, milk, eggs, green leafy vegetables and fortified breakfast cereals. But plant foods do not provide much B-12. If you're a vegan, you may suffer from a vitamin B-12 deficiency, and symptoms include numbness in your fingers. People older than 50, individuals who abuse alcohol and gastric surgery patients may also prove deficient in vitamin B-12. People with Crohn's disease or pernicious anemia may also suffer numbness in their fingers associated with a vitamin B-12 deficiency.
VITAMIN B-12 DEFICIENCY

Numbness in your fingers signals possible nerve damage, and any type of nerve damage deserves prompt attention. Nerve damage, left untreated, may worsen or become permanent. If you suspect a lack of vitamin B-12 may be responsible for numbness in your fingers, ask your doctor. Other symptoms of a vitamin B-12 deficiency include tingling or numbness in your arms, legs and feet, balance problems and memory difficulties. A lack of vitamin B-12 can also cause dementia, a sore tongue or mouth, and confusion.
VITAMIN B-6

Vitamin B-6, also known as pyridoxine, helps improve nervous system function, but taking too much could also damage your nerves. Ask your doctor if taking vitamin B-6 in supplement form could alleviate numbness in your fingers. You can safely add food sources of vitamin B in your diet. Good sources include eggs, vegetables, liver, cereals and beans. If you take vitamin B supplements, you may experience side effects such as sleepiness, loss of appetite, headache and vomiting. If you take vitamin B-6 in high doses for an extended period of time, it could cause brain and nerve problems.
CONSIDERATION

All the B vitamins work together to improve nerve function, but use caution in taking vitamin B complex -- a type of multivitamin that may contain six B vitamins and other nutrients -- as you put yourself at risk for serious side effects, including stomach ulcers, loss of vision, liver damage and irregular heartbeat. Many medical problems, including diabetes, cancer, exposure to toxins and genetic disorders can harm your nervous system and cause symptoms that include numbness in your fingers. Seek medical care to find out why your fingers turn numb and follow a recommended course of treatment, which may include vitamin B supplements.

​


 
Nasema

Nasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
558
Points
195
Nasema

Nasema

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
558 195
Pole. Pamoja na kufatilia hizo dawa, pia epuka kabisa kuvaa viatu vinavyokubana, yaani visikubane kabisa. Kama ni mwanamke, acha kuvaa viatu virefu sana na vinavyobana. Nilipata tatizo kama lako wakati fulani lakini nilishauriwa kuacha kuvaa hivyo viatu, nimeacha na sasa nimepona kabisa.
 
MwanaHaki

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Messages
2,403
Points
1,225
MwanaHaki

MwanaHaki

R I P
Joined Oct 17, 2006
2,403 1,225
Jamani mimi nina tatizo la ganzi na maumivu makali kwenye miguu na viganja vya mikono. Je, tiba yake ni nini? Nimeambiwa kwamba tatizo limesababishwa na kisukari.
 

Forum statistics

Threads 1,283,723
Members 493,764
Posts 30,798,660
Top