Tatizo la meno

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Wana jf naombeni msaada wa kuweza kuondokana na tatizo la kutoka na damu kwenye meno pindi ninapopiga mswaki.
 
tumia aloe bright toothgel utapona kabisa!inauzwa 13000...kama upo arusha naweza kukuuzia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom