Tatizo la meno


Faru dume

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
447
Likes
44
Points
45
Faru dume

Faru dume

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
447 44 45
Wana jf naombeni msaada wa kuweza kuondokana na tatizo la kutoka na damu kwenye meno pindi ninapopiga mswaki.
 
J

janee

Member
Joined
May 4, 2013
Messages
54
Likes
0
Points
0
J

janee

Member
Joined May 4, 2013
54 0 0
tumia aloe bright toothgel utapona kabisa!inauzwa 13000...kama upo arusha naweza kukuuzia.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,742
Likes
15,106
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,742 15,106 280
Kiseyeye hcho kula matunda ya vitamin c kwa sana.
 
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
1,848
Likes
212
Points
160
Sanctus Mtsimbe

Sanctus Mtsimbe

Tanzanite Member
Joined Jul 14, 2008
1,848 212 160
Wana jf naombeni msaada wa kuweza kuondokana na tatizo la kutoka na damu kwenye meno pindi ninapopiga mswaki.
Mkuu, unaweza kutumia maganda ya machungwa au limao. Au Spinachi na Carrots. Hebu pitia hapa:

Mafanikio Na Afya Njema: Tiba ya Kutoka Damu Kwenye Fizi - Natural Home Remedies for Pyorrhea
Mafanikio Na Afya Njema: Tiba Ya Kuumwa kwa Fizi za Meno - Natural Home Remedies for Gingivitis
Mafanikio Na Afya Njema: Tiba ya Kuoza Meno - Natural Home Remedies for Tooth Decay
 

Forum statistics

Threads 1,272,334
Members 489,924
Posts 30,447,895