tatizo la maskio

aisha k

Member
Mar 14, 2017
12
7
wanajamii naomben kufaham kitu nna tatzo la maskio tangu mdogo n karbu miaka ishrn sasa lakin hv karbun tatizo limeanza kuongezeka siku hadi siku nmeenda hospital nmepewa dawa lakn haijasaidia ila wameniambia nitapatiwa barua niende muhmbil sasa naomba kufahamu garama za muhimbil zpo vp na na je tatzo langu n la mda kuna uwezekano wa kupona kwel
 
Back
Top Bottom