Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 674
Kwa muda sasa maeneo mengi ya Dar yana tatizo la maji zaidi ya wiki sasa na mamlaka husika ziko kimyaa !!. Maeneo ya Sinza, Mwenge, Kinondoni, Mwananyamala nk maji hamna kabisaa.
Kukatika umeme zaidi ya mara 3 kwa siku nayo inaanza kuzoeleka hukumamlaka zikiwa kimyaaa.
Huku ni kutupa ishara gani wananchi?
Kuwa serikali imeridhia?
Sijaamini bado.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app