Tatizo la maji Bagamoyo

samoramsouth

Senior Member
Jan 16, 2011
191
30
Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine.

Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali.

Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye mitambo. Hivi gesi ya mtawra inafanya nini?

Inaudhi unatoka kulitumikia taifa unarudi nyumbani unakuta maji hamna.
 
BAADA YA SIKU TANO MPAKA LEO TAR. 24 October MAJI HAYATOKI HUSUSANI ENEO LA KERRGE CCM. SIJUI MAENEO MENGINE.
MENEJA BAGAMOYO UFAFANUZI TAFADHALI.
NIMEULIZA WANASEMA NI TATIZO LA UMEME KWENYE MITAMBO. HIVI GESI YA MTAWRA INAFANYA NINI?
Inaudhi unatoka kulitumikia Taifa unarudi nyumbani unakuta maji hamna.

Majungu ni kitu kibaya sana
Niko hapa Kerege matumbi hakuna kitu kama hicho
Kwa wilaya ya Bagamoyo hususani kerege hakuna tatizo hilo
 
Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine.

Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali.

Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye mitambo. Hivi gesi ya mtawra inafanya nini?

Inaudhi unatoka kulitumikia taifa unarudi nyumbani unakuta maji hamna.

Kwahiyo kwa lugha nyepesi unataka kutuambia ya kwamba Wewe na labda Mheshimiwa Mbunge wako kuna uwezekano kuwa kwa hizi Siku tano ' hamjaoga ' pia hivyo kusababisha ' environmental pollution ' ya Kutukuka kabisa huko Bagamoyo.
 
Majungu ni kitu kibaya sana
Niko hapa Kerege matumbi hakuna kitu kama hicho
Kwa wilaya ya Bagamoyo hususani kerege hakuna tatizo hilo
Asante. Mimi mpiga majungu... Matumbi na. Kerege CCM. Kwa ufupi nimepiga simu nikaambiwa umeme ni tatizo kwenye mtambo. Unawaka na kukatika. Hebu angalia historia Yangu huko nyuma.
 
Ununio maji yamekatika siku ya 4 leo, yalikatika jumatatu jioni na bomba lkubwa !ndio hilo hilo la bagamoyo
 
Jamani tuwe wakweli , labda bomba lako lina shida . Nikiingia bafuni nakaa chonjo maji yasitoboe kichwa ni kama msumari . Nipo kerege ccm . Kuna wakati yanakatika kwa masaa na kurudi kwa speed ya light
 
Ok. Nafanyia kazi ushauri wako Lebai.
 
Back
Top Bottom