Jamani nimeshawahi kuwa katika uhusiano mwaka uliopita na mvulana mmoja ambaye nlimpenda sana , Lakini kuna siku aliniazima simu yake ndipo nlipoziona meseji ambazo alikuwa anachat na ex gel frend wake ambapo walikuwa wakinijadil wakati huo alisema ameshaachana naye mfano huy mvulana alikua anamwambia kwamb kuna huyu msichana anaekt ananipend sana na kati mi sina muda naye, anajipendekeza kwangu , mi sina muda nayee n.k nlishindwa kuvumilia coz the way nlivokuwa nampend nliumia san bas nkaamua kuachan naye, ninapata shida san kuwa katika mahusiano kwani sibahatik kumpend mtu, na hata nikimpenda bas nawez kuamua kuw nay lakin nikimkumbuka yule guy wa kwanza alivonifanyia na jinsi nlivompend naamua nisikubal kuw na mtu huyo?Nifanyej ili nirudi katika hali yangu ya kawaida ?