Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,305 Mar 26, 2018 #1 Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante.
T tan-1 Senior Member Joined Jan 2, 2018 Posts 100 Reaction score 81 Mar 26, 2018 #2 Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Kapime ngwengwe kaka/ dada....
Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Kapime ngwengwe kaka/ dada....
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,305 Mar 26, 2018 Thread starter #3 Hahaha hiyo nimekua na kawaida ya kupima mbona
hmjamii JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 627 Reaction score 313 Mar 26, 2018 #4 Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa?
Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa?
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Joined Dec 14, 2017 Posts 1,281 Reaction score 1,305 Mar 26, 2018 Thread starter #5 hmjamii said: Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa? Click to expand... Hapna sio ya kubana ila mara kwa mara yanakuja
hmjamii said: Hayo mafua yanakuwaje? Pua zinabana kabisa? Click to expand... Hapna sio ya kubana ila mara kwa mara yanakuja
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,086 Reaction score 34,883 Mar 28, 2018 #6 Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Kula Asubuhi punje 2 za kitunguu Saumu tafuna umeze kwa maji ya uvuguvugu na wakati wa mchana kula tena na usiku kula tena punje 2 kitunguu saumu fanya hivyo siku 3 umepona hayo mafua yako.
Miraj Mussa said: Habari za muda. Naomba kujua sababu ya mafua ya mara kwa mara pamoja na tiba yake. Ahsante. Click to expand... Kula Asubuhi punje 2 za kitunguu Saumu tafuna umeze kwa maji ya uvuguvugu na wakati wa mchana kula tena na usiku kula tena punje 2 kitunguu saumu fanya hivyo siku 3 umepona hayo mafua yako.