Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mkuu umenikumbusha mzumbe sec enzi hizo tulikuwa tunasema pumbu erosion ugonjwa kama huo
Huo ugonjwa mzee unaitwa PUMBU EROSION.

inapelekea hiyo ngozi ngumu baadae kuchubuka tena kisha pumbu lote linakua jekundu...hilo halina shida,shida ni pale pumbu litakapogusana na suruali au ngozi wakati wa kutembea,mzee utahisi this world is not your home.

Ugonjwa huu kwa waliosoma shula za boys za serikali ndio wanajua balaa lake...

Ubaya ni kwamba haunaga dawa,ukiamua tu unapona wenyewe.

Punguza kuvaa boxer mbichi,usifuge mavuzi sana,halafu usile midemu michafuchafu isiyojua kujiswafi.

Korodani mzee linda kuliko mboni ya jicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry! baada ya kubabuka ngozi huko vp huwa zinaawaida ya kufanya magamba meusi au zinabaki hivyo hivyo?
Unipa jibu baweza kukupatia ufumbuzi wa tatizo lako.

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Zinafanya magamba meusi mkuu
 
Zinafanya magamba meusi mkuu
Kanunue Candistat cream
Matumizi ni kupaka mara mbili kwa siku kila unapomaliza kuoga.

Hakikisha siku zote;
1 .Huvai boxer mbichi
2. Jikaushe vizuri baada ya kuoga
3. Boxer ivaliwe kwa siku moja au ikiwezekana kwa masaa na sio mpaka inapiga weusi.

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Kanunue Candistat cream
Matumizi ni kupaka mara mbili kwa siku kila unapomaliza kuoga.

Hakikisha siku zote;
1 .Huvai boxer mbichi
2. Jikaushe vizuri baada ya kuoga
3. Boxer ivaliwe kwa siku moja au ikiwezekana kwa masaa na sio mpaka inapiga weusi.

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Ahsante Mkuu
 
Mkuu sijaelewa vizuri nielekeze
Hivyo vipande asubuh na jioni ni kwamba unapaka sehemu husika ama unakula!!
Okay okay. Chukua ile ndimu igonge kabla hujaikata mpaka iwe laini. Kisha kata, chukua kipande...jipake huku unaikamua kidogo kidogo sehemu husika. Kisha vuruga eneo lote. Tupa hicho kipande baada ya matumizi.

Kile kingine kifunike vizuri. Utatumia jioni.

Sent using my Nokia Torch
 
Ni jambo jema ulipona, lakini kipande cha ndimu/limao kikikaa zaidi ya dakika 5 baada ya kukatwa (kupasuliwa katikai) kinapoteza (kupunguza) uwezo wake, ni vyema kutumia ndani ya dakika 5 baada ya kukatwa, pengine ungepona mapema zaidi!
 
Samahan anaeweza kujuwa dawa ya kuzuia na kutibu kuwanywa na kunyauka kwa ngozi ya korodani, naombeni msaada maana nateseka sana na hii hali.
 
Samahan anaeweza kujuwa dawa ya kuzuia na kutibu kuwanywa na kunyauka kwa ngozi ya korodani, naombeni msaada maana nateseka sana na hii hali.
Hili sio tatizo kubwa jambo la kufanya

1)Kila ukimaliza kuoga jifute vizuri sehemu za korodani na tauro safi kisha paka mafuta.

2)ukienda kujisaidia haja kubwa jitahidi uwe na kitambaa safi ukimaliza haja yako tawaza kwa maji safi kisha jipukute sehemu hizo za matako kutoa huo ubichi sehemu ya haja kubwa na korodani ziko karibu so ukitawaza ukavaa tu boxa unyevu unafika hadi kwenye korodani ndio unaleta fungasi wanakuwasha.

Jaribu hivyo siku chache tu mambo poa uje ulete mrejesho.
 
Niko smart sana,ila yawezekana bafu mahali hapa napoishi zikawa zina sababisha pia?
maana tupo wapangaji kibao na sina amani na bafu hizi
Basii Jitahid Kila Ukiingia Bafuni Unasafisha Kwanza Na Uani Pia Unasafisha Vilevile ....
Mambo Ya Kuchangia Sabuni na Mtu Usiyemfaham .. Jikaushe Vizur na Usivae Nguo za Kubana Saana Ili Hewa Ipite Vizur ... Swala la Usaf Ndo Mpango Mzima Kuna Dawa Inaitwa Benzoic Acid Unapaka Kila Ukioga Ila Inawasha Balaa
 
mkuu hii benzonic acid naipata pharmacy ???
 
Jamani naombeni msaada, Tabu yangu iko pale pale kwa zaidi ya miaka kadhaa sasa.
Fangasi sehem za siri imekuwa tatizo kwangu nashindwa nifanye vipi ili nipone niametumia dawa aina tofauti lakin tatizo liko pale pale.
nimejaribu kufuatilia mtandaon huu ugonjwa unaitwa JOCK ITCH(tinea cruris) sasa kwenye suala la matibabu ndio imekuwa tabu kwangu.

naombeni msaada wana jamvi wenzangu kwa yeyote mwenye ufaham na hili.
 
Attachments

  • jock-itch1.jpg
    jock-itch1.jpg
    9.6 KB · Views: 73
Ukipata cream jamii ya allylamines kwenye pharmacy kubwa itakufaa sana.

Ukioga hakikisha umejikausha kabisa na taulo

Usishirikiane taulo na mtu mwingine na ufue kila wiki na kulianika juani.

Paka dawa mara mbili au tatu kwa siku, asubuhi ukiamka, lunch time na kabla hujalala.

Vaa boxers za cotton.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom