Nahitaji motherboard ya Toshiba Satellite. Ntapata wapi kwa hapo Tanzania?
Hapo inawezekana kuna moja kati ya matatizo mawili.Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote, Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo, Msaada wenu Wakuu.
Hapo inawezekana kuna moja kati ya matatizo mawili.1:Kushindwa kazi kwa power adapter2:Motherboard inaanza kuharibika,so,ichunguze power adapter yako hata kwa kutumia power adopter nyingine ukiona inapiga mzigo hiyo nyingine basi ujue hiyo ya kwako ina ina kasoro katika output ya voltage yake.kama tatizo litaendelea possibly ni motherboard hasa kwenye smps
Natumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote,
Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo,
Msaada wenu Wakuu.
ndugu tatizo la hiyo computer yako nalipata sana bila shaka hiyo computer yako ni toshiba satellite l300 au a300, tatizo la hiyo machine ni capacitor flani katika motherboard zimekufa zinahitaji ku-replace kama upo dar nicheki kwa 0762-647575 hilo tatizo nimeshalirekebisha several times so unaweza kuniona nikakuwekea sawa kabisaNatumia mashine aina ya Toshiba tatizo lake nikiitumia bila kuchomeka kwene Chaji inafanya kazi bila shida yoyote,
Ishu napo chomeka chaji tu ikiwa imewaka ina stuck,nikizma na kuiwasha kama bado nimechomeka chaji mchezo ni huo huo,
Msaada wenu Wakuu.