Wakuu habari za jioni?
Mimi ni kijana wa miaka 32 kuna tatizo kwa kweli limekuwa likinikosesha raha sana, nimeona nikilileta hapa jamvini ninaweza kupata suluhisho.
Kama nilivyoainisha hapo juu umri wangu ni miaka 32 lakini nina muonekano kama wa mtu mwenye miaka 40+ , yaani imefikia nikimwambia mtu yoyote umri wangu huwa wanashangaa sana na kuhisi labda ninadanganya.
Yaani sometimes watu walionizidi umri huwa wananiamkia na wengi niliowauliza wanahisi naweza kuwa na umri gani huwa wanasema may be 43 au 45.
Sasa sijaelewa tatizo langu litakuwa linahusiana na hormone au vipj.
Kwa muonekano ni mnene kiasi nikiwa nina kilo 90 na urefu wa futi 5 na inchi 10.
Sasa wadau ninaweza kupata suluhisho lolote kuhusu hii hali inayonikabili?
Nb: Sinywi pombe wala sivuti sigara.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app