Tatizo la kuwashwa

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,772
2,171
Jamani wana ukumbi nina tatizo la kuwashwa mwili na ninajikuna sana hasa kwenye mapaja na sehemu za siri kwa juu. Tatizo hili ninalipata hasa saa za usiku. Nimepima damu, choo na mkojo na nikaambiwa sina tatizo lolote. Naomba ushauri kuhusu tatizo hili
 
kama ni usiku huenda una allergy na mashuka, blanketi bukta unayolalia au kitu chochote unachotumia usiku hebu jaribu kucheki hilo, pia unaweza ukaenda pharmacy ukapata antihistamine maana histamine zinakuwaga nyingi usiku, ila cheki zaidi hizo boxer maana hata maeneo yenyewe ulioeleza yananiaminisha hilo
 
Back
Top Bottom