Tatizo la kuwa na wapenzi wa aina moja

Tatizo la kuwa na wapenzi wa aina moja

Ndugu kama kichwa kinavosomeka hapo juu mimi ni kijana mwenye umri unaoruhusu kuoa kua na familia

Lakini hajabu ni kwamba nimekua nikipata wapenzi wa haina moja jambo ambalo limekua likinitatiza kidogo

Nakutana na wachumba waliofanyiwa upasuaji tu

Mtu ambaye hajafanyiwa upasuaji nikianzisha mahusiano naye lazima yavunjike, asa sijui kwa sababu namimi nimefanyiwa upasuaji ndo inakua sababu kubwa msaada jamani kama kuna anayejua haya mambo huenda ni ule msemo wa ndege wanaofanana huruka pamoja

Shukrani
Nami nakutanaga na masingle mother sana ndo huwa tunadumu. Shiiiit
 
Siaelewa we ni mwanaume mwenye tezi dume unakutana na sexual partner wako ambae ni mwanaume mwenzako ambae naye ana tezi dume ndo unadumu nao wengine wasikuwa nayo hamdumu au wakuu nimeelewa Vbaya?
 
Kile unachokifikiria ndicho hicho hicho utakachopata...

Wala siyo coincidence...


Cc: mahondaw
 
Laparatomy
Screenshot_2019-08-25-12-36-42.png
 
Hizo story kila mmoja ufikiria pesa ila wengi hawana

Huwezi fikiria kitu, alafu ukakaa tu kijilete chenyewe... lazima ufanye jambo ili kukifanikisha...

Mleta mada atakua anafikiria sana kukutana na watu wa aina hiyo, na kwa sababu anatafuta ndiyo maana anakutana nao...


Cc: mahondaw
 
Hao ndio fungu lako, sasa wewe pinga ukabebe nuksi utafurahishwa.
 
Back
Top Bottom