Wakuu, Salaam.
Niende moja kwa moja katika mada. Mimi ndugu yenu nina tatizo la kuwa na hofu katika kila jambo ninalofanya na hili tatizo linapelekea kushindwa kufanya kwa ufanisi jambo lolote lililo mbele yangu.
Kipindi nikiwa Nasoma A Level mpaka Chuo nilikua nashindwa hata kufanya presentation na ikitokea nimefanya basi jasho la kutosha litanimwagika na mapigo ya moyo kwenda kasi.
Katika maisha ya mahusiano Hofu inanipelekea kushindwa hata kutongoza wanawake na nikifanikiwa kumpata siku ya kua nae faragha basi hofu inanitawala mpaka kupelekea kushindwa kufanya tendo kwa ufanisi.
Tafadhari Naomba msaada katika hili.
Natamguliza Shukrani za dhati.
Ugonjwa wa wasiwasi unasabibishwa na nini? Kuna sababu nyingi zinazosababisha ugonjwa wa wasiwasi na zinahusiana. Sababu za aina ya magonjwa fulani ni tofauti na sio rahisi kutambulika. Sababu za kigenitiki (kurithiana) Inafahamika kuwa magonjwa ya wasiwasi hupatikana katika jamii fulani. Hali hii ni kama ile ipatikanayo katika jamii za watu walio na ugonjwa wa kisukari ama ugonjwa wa moyo. Watu waweza pia kushika hii tabia ya wasiwasi kutoka wazazi au watu wengine wa jamii. Sababu za kemikali Aina ya magonjwa ya wasiwasi mengine husababishwa, kidogo tu, na kukosekana na uzanifu wa kemikali zilizo kwenye ubongo Chembe akili (fahamu) ya bongo inayochunga hisia na tabia ya mtu linaweza kuhusika. Tabia Watu walio na tabia fulani hushikwa na magonjwa ya wasiwasi kwa njia rahisi kuliko wengine. Watu wanaoghafilika au kukasirika kwa haraka hushikwa na ugonjwa wa wasiwasi kwa urahisi.
Generalized Anxiety Disorder (GAD)
Generalized Anxiety Disorder (GAD)
- Understanding GAD
- Symptoms
- Treatment Information
- Tips to Manage Anxiety and Stress
- Myths and Misconceptions
- Helpful Resources
Understanding GAD
Generalized Anxiety Disorder (GAD) is characterized by persistent and excessive worry about a number of different things. People with GAD may anticipate disaster and may be overly concerned about money, health, family, work, or other issues. Individuals with GAD find it difficult to control their worry. They may worry more than seems warranted about actual events or may expect the worst even when there is no apparent reason for concern.
GAD is diagnosed when a person finds it difficult to control worry on more days than not for at least six months and has three or more symptoms. This differentiates GAD from worry that may be specific to a set stressor or for a more limited period of time.
GAD affects 6.8 million adults, or 3.1% of the U.S. population, in any given year. Women are twice as likely to be affected. The disorder comes on gradually and can begin across the life cycle, though the risk is highest between childhood and middle age. Although the exact cause of GAD is unknown, there is evidence that biological factors, family background, and life experiences, particularly stressful ones, play a role.
Sometimes just the thought of getting through the day produces anxiety. People with GAD don’t know how to stop the worry cycle and feel it is beyond their control, even though they usually realize that their anxiety is more intense than the situation warrants. All anxiety disorders may relate to a difficulty tolerating uncertainty and therefore many people with GAD try to plan or control situations. Many people believe worry prevents bad things from happening so they view it is risky to give up worry. At times, people can struggle with physical symptoms such as stomachaches and headaches.
When their anxiety level is mild to moderate or with treatment, people with GAD can function socially, have full and meaningful lives, and be gainfully employed. Many with GAD may avoid situations because they have the disorder or they may not take advantage of opportunities due to their worry (social situations, travel, promotions, etc). Some people can have difficulty carrying out the simplest daily activities when their anxiety is severe.
https://adaa.org/understanding-anxiety/generalized-anxiety-disorder-gad
Usipo pona kwa dawa za Kizungu aka (Hospitali) unaweza kutibiwa kwa dawa za Asili na ukapona kabisa maradhi yako.