Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

tatizo la mdomo kunuka linachangiwa na kutopata choo vzr....jiangalie upataji wako wa choo ukoje
 
uanze kujua chanzo major la tatizo hili pengine unaweza kujua utumie nini maana kuna mdau hapo juu anadai eti shida ipo tumbon sijui kuna ukweli ?
 
Hilo tatizo lako hata me nilikuwa nalo but sa hv limeisha linasababishwa na dawa za mswaki tunazotumia whtdent clget na n.k kwan zina floride ukitaka kujua madhara yanayosababishwa na floride nenda YOUTUBE andika hivi EFFECT OF FLORIDE IN BODY ITAKULETEA VIDEO YA DK 10 dawa me niliuziwa elfu 13 kama utaitaji sana nchek kwa no 0683672508 tatizo halitajirudia tena.
Hiyo dawa inaitwaje? Ungeweka hapa jina la dawa kwa manufaa ya wengi.
 
Wadau,

Naombeni ufafanuzi wa tatizo hili la kinywa kutoa harufu mbaya.Yaani muda ukitoka kusugua ama kuswaki tu ndiyo hakitoi harufu ila ukitulia kidogo labda masaa kadhaa harufu mbaya inarudia palepale hata kama hujala kitu!

Naombeni kujua tatizo ni nini na suluhisho lake.

Ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Naweza nikakusaidia tiba ndugu yangu upambane na hiyo hali isababishwayo na uwepo wa bacteria. Piga mswaki kama kawaida, alafu ukimaliza nyunyuzia baking powder kwenye mswaki na upige tena mswaki. Utakuja kunipa mrejesho hapa.
 
Naweza nikakusaidia tiba ndugu yangu upambane na hiyo hali isababishwayo na uwepo wa bacteria. Piga mswaki kama kawaida, alafu ukimaliza nyunyuzia baking powder kwenye mswaki na upige tena mswaki. Utakuja kunipa mrejesho hapa.


Hyo baking powder inauzwa maduka gani? Ya dawa baridi au hata maduka ya kawaida?
 
Baking powder hutopata maduka mwa dawa. Hutumika kwenye upishi wa maandazi, ukienda duka lolote utapata, ila usichanganye ukachukua chapa maandashi. Tumia hiyo kitu then utanipa mrejesho kaka. Iliwahi kumsaidia ndugu yangu kabisa
 
Kwa hyo ukichovya kwenye mswaki unasugua meno kwa dakika ngap? Na je ni kila siku au inafika muda unaacha kutumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom