Tatizo la kutuma SMS kwenye Huawei Ascend g510 naomba msaada

lyahanze

Member
Apr 6, 2012
43
4
Halo wanajukwaa!

Kiukweli napata shida sana nikituma sms hazitoki kwa muda mwafaka..zinakuwa pending kwa zaidi ya saa au zisiende kabsa..network ipo vzr na si leo tu ni tatzo la muda.natumia huawei ascend g510..

msaada mwenye kujua hili tatzo.
 
center number ipo sawa ila zinachelewa sana..sms inayowahi kutoka labda nusu saa..center number ikiwa imekosewa sms inaweza kwenda au haiendi kabsa!

Center number ikikosewa sms haiwezi kwenda,,tatzo hapo ni network tu mkuu maana hata mimi tym natumia mtandao wa tGO ilikuwa inantokea.
 
Center number ikikosewa sms haiwezi kwenda,,tatzo hapo ni network tu mkuu maana hata mimi tym natumia mtandao wa tGO ilikuwa inantokea.
Nimekupata mkuu..ipo shida maana network inasoma full kumbe haitoshi! ila nikiweka line kweny sm nyngne znatoka fasta sasa sjui sm ndo shida?
 
Wewee angalia application ulizoweka kwenye simu yako kuna moja apo inakuzingua...hasa apps zinazohusu themes
 
halo wanajukwaa!
Kiukweli napata shida sana nikituma sms hazitoki kwa muda mwafaka..znakuwa pending kwa zaidi ya saa au zisiende kabsa..network ipo vzr na si leo tu ni tatzo la muda.natumia huawei ascend g510..msaada mwenye kujua hili tatzo.
mkuu hili tatizo lishanichoshaga, nililihangaikia sana kulifix lkn nilishindwa (jf na costumer care sikupata suluhisho) nimeamua niiache tu mpka sasa bdo linanisumbua hili tatizo!! but inakera sanaaaaa
 
bila shaka utakuwa unatumia line ya tigo coz inazingua sana aiseee.unaweza ukatuma sms siku nzima kimyaaa haijaenda na simu unayoitumia ipo ON.

yaani nikama unavyopiga sim unaambiwa number haipatikani unarudia hata mara 5 kimyaaaa
 
natumia airtel mkuu hata nikibadili line bado tu
 
jaribu kutumia sms app nyingine mfano unaweza search playstore hangouts utapata
 
Back
Top Bottom