Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

Mtambaaswala

New Member
Sep 24, 2020
1
2
Samahani naomba kuuliza,

Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
 
Mimi siyo mtalaamu wa afy saaana lakini nina idea kidogo,, labda itakuwa njia ya mkojo haifanyi kazi vizuri, tafadhali tembelea kituo cha afya kilicho karibu nawe naamini utapata suruhisho .
 
Samahani naomba kuuliza,

Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.

Tafuta mwanamke , gegeda week nzima mfululizo
 
Mkuu. Hilo sio tatizo bali ni maji ya ukwasi.

Tafuta mtoto mkali weka ndani,

Gegeda Mara kwa Mara tatizo kwishney.

Yaonyesha una ugwadu wa muda mrefu.
 
kama unamda mrefu bila kula papuchi fanya mchakato kichupa kimejaa bt kama sivyo basi wahi hospital
 
Mwanaume akiwa na hamu ya kufanya sex,kuna "fluid " zinakuwa zinatoka. Ndio zinaitwa hivo.
Ila mtoa mada hajatuambia kwamba hiyo hali inamtokea akiwa na hamu, kwa maelezo yake inaonekana kama imekuwa kawaida hivi.

Labda atupe maelezo zaidi. Ama hiyo unayo ikusudia wewe sisi Waswahili tunayaita "Madhii" (Kwa faida tu, na huwa ni najisi).
 
Kama unadem mnagegedana bila kinga,basi kuna tatizo hapo,nenda hospitali hilo ni tatizo..
 
Hao wanaokuambia utafute binti umle wanakudanganya,

Piga punyeto mkuu tatizo lako litaisha siku hy hy
 
Back
Top Bottom