Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

Bao la kwanza limetoka na damu , la pili hali kadhalika, ilibidi iushie la kwanza tu, we itakuwa ni muongo
 
Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.

Umeshapewa gonorrhea wewe
 
Mkuu, utafiti wa kisayansi unaonesha huna tatizo kabisa kiafya, ila utazaa mazombie, wanao watapenda sana kunywa damu kuliko hata gongo!! vuta shuka upige bao la3
 
Huko chini kulikuwa na damu au shahawa ndio zina chembechembe za damu..?
 
Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.

una uhakika hazitoki kwa mwezi wako hizo damu
 
Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.[/QUO
Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.
Nina swali kabla ya kukujibu ,je una miaka chini ya 40 na hauna dalili yoyote ya STD kama jibu ni ndiyo basi tatizo hilo linaweza lisiwe na maana sana isipokuwa pale tu tatizo hilo litaambatana na mambo haya
1)limetokea zaidi ya mara moja
2)limewahi kukutokea ukiwa unakojoa
3)unamatatizo yoyote ya au ugonjwa wowote wa damu
utahitaji uchunguzi zaidi,kwa lugha la kitaalamu jambo hilo huitwa hematospermia or hemospermia na unaweza ukaenda kwa dr google kujua zaidi,ila ni vyema ufahamu kuwa sababu kuu za tatizo hili ni
A)infection na inflamation katika tezi na mifereji yake ukitumia antibiotic tu tatizo litaisha na hii hutokea kwenye
1)tezi dume au prostate
2)urethra au mishipa inayochukua mkojo kutoka kwenye mfuko wa mkojo
3)Epididymis na vas deferens..kiswahili??
B)Ajali au kama uliwahi kufanyiwa upasuaji mitaa hiyo siku za karibuni
C)Kuziba kwa njia ya kupitishia mbegu za Kiume
D)Uvimbe au saratani kwenye sehemu ya kuzalishia mbegu za kiume
E)Matatizo ya mishipa ya damu.
Kwa ushauri zaidi na matibabu tembelea hospitali iliyo karibu na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom