Tatizo la kutoa shahawa zenye mchanganyiko na damu

Ndugu zangu,

Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.

Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.

Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.
Mkuu kimbia kabisa haraka kwa daktari
 
pole sana kijana! hiyo inawezekana asilimia mia moja umevunja dushe lako! nenda kafunge muhogo
 
Umetoa bikra ...
Kwa takribani miezi kadhaa sasa tumekuwa tukilalamika kwamba tuwe na nidhamu tunapochangia mawazo ya mtu mwingine mwenye matatizo ili suluhisho liweze kupatikana kwa kuwa hili ni jukwaa mahsusi au great thinkers..sasa kwa uchangiaji wako sidhani kama utasaidia kuleta suluhisho zaidi ya kuchekesha tu..tujitahidi kuwa na nidhamu hata kidogo basi.
 
Umeongea point sana Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom