kdom
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 238
- 146
Hahahaaa aaa!Kamuone dr haraka pumbavuuu in Ray Kigosi voice
Jingaa kabisa
Hahahaaa aaa!Kamuone dr haraka pumbavuuu in Ray Kigosi voice
Jingaa kabisa
Sjaelewa mantiki ya swali lakoKwani guest house wanaenda wasiofahamiana?
Bado siku si nyingi, mbegu zako zitaanza toka zikiwa na dagaaNdugu zangu,
Nimemaliza kufanya tendo la ndoa, lakini cha ajabu hizi shahawa zangu zimetoka na damu, hali hii imeniogopesha kuendelea na tendo la ndoa.
Ndugu zangu je hii hali ya shahawa kutoka na damu ni hali ya kawaida au nitakuwa na tatizo? Bao la kwanza hali ilikuwa hivihivi bao la pili hali bado ni vilevile yaani unaona shahawa lakini zinadamu mbichi kabisa.
Msaada ndugu zangu wa mawazo ushauri tafadhari maana huyu mwanamke niliye naye ningekuwa simfahamu ningesema labda nimekutana na jini.
AsantePole
Wacha wakumalizie kabisa uzinzi wa wake za watu mbaya sana.Wakuu nimekwenda hospital na nimepewa vidonge hivi hapa
Mungu anakuonaBado siku si nyingi, mbegu zako zitaanza toka zikiwa na dagaa