Nguvu za kiume najiamini niko vzrKubali kwanza hauna nguvu za kiumbe ndio tuanze kukusaidia
Hahahahahahahah hahahahahaha jamaniKubali kwanza hauna nguvu za kiumbe ndio tuanze kukusaidia
Nimecheka sana.. ameamua amkate moto mleta uziHahahahahahahah hahahahahaha jamani
Kama umenipatia vileNi ishu ya Physiology zaidi. Zamani kabla hujaoa ulikuwa unapania mademu hiyo mentality ilikufanya ukawa unakamua hata bao 4.
Sasa umeoa na wife kila siku upo naye uhitaji kumpania thus why mukari umeshuka. Ila nguvu unazo ni swala la kiakili zaidi.
Mbaya zaidi ukute enzi za nyuma ulishapiga visu vikaliiii ukaoa ukaamua kupumzika. Baba mashine inakuwa kama dodoki
Hapana sijawahi kufanya hii kitu kabisaVipi (ulikuwa) unapiga punyeto?
Ushauri wa mabaharia huu.Ukitaka kujua kama tatizo lipo kwanza tafuta chombo kingine kilichokamilika ukiona unapiga zaidi ya 2 ujue uko njema!! ila kama na mechi ya ugenini itakushinda basi tafuta wataalamu wa afya
Hadi nifukue mafaili ndio nijue wewe ni nani..Hahahahahahahah hahahahahaha jamani
Hadi nifukue mafaili ndio nijue wewe ni nani..
Nakutunuku 7800 kwa usumbufu ulionipa
Umri wako huja semaHabari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla.
Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja.
Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara nne lakini kwa kipindi cha hivi karibuni hari imekuwa tofauti jambo linalotishia usalama wa ndoa yangu.
Siku hizi nikifanya tendo la ndoa siwezi kurudia mara ya pili au ya tatu kwanza napoteza hamu na uume unashindwa kusimama hata nijisumbueje SIFANIKIWI KURUDIA na wakati wa asubuhi nakosaga hamu kabisa jambo unakuta mke wangu ananihitaji.
Ni seme tu kwamba hili si tatizo la nguvu za kiume kwani nguvu za kiume ninazo niko Sawa kwa hiyo round Moja inaweza kunichukua dk 15-40 au zaidi.
Ndugu naomba msaada wenu chanzo cha hili tatizo ni nini na tiba yake ni ipi?
Tafadhari jokes tuweke pembeni!
endwara yabona omubazi ANGA omubazi wabona endwara!Kama umenipatia vile