Tatizo la kushindwa kurudia tendo la ndoa

border

Senior Member
Jun 22, 2017
145
142
Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla.

Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja.

Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara nne lakini kwa kipindi cha hivi karibuni hari imekuwa tofauti jambo linalotishia usalama wa ndoa yangu.

Siku hizi nikifanya tendo la ndoa siwezi kurudia mara ya pili au ya tatu kwanza napoteza hamu na uume unashindwa kusimama hata nijisumbueje SIFANIKIWI KURUDIA na wakati wa asubuhi nakosaga hamu kabisa jambo unakuta mke wangu ananihitaji.

Ni seme tu kwamba hili si tatizo la nguvu za kiume kwani nguvu za kiume ninazo niko Sawa kwa hiyo round Moja inaweza kunichukua dk 15-40 au zaidi.

Ndugu naomba msaada wenu chanzo cha hili tatizo ni nini na tiba yake ni ipi?

Tafadhari jokes tuweke pembeni!
 
Ni ishu ya Physiology zaidi. Zamani kabla hujaoa ulikuwa unapania mademu hiyo mentality ilikufanya ukawa unakamua hata bao 4.

Sasa umeoa na wife kila siku upo naye uhitaji kumpania thus why mukari umeshuka. Ila nguvu unazo ni swala la kiakili zaidi.

Mbaya zaidi ukute enzi za nyuma ulishapiga visu vikaliiii ukaoa ukaamua kupumzika. Baba mashine inakuwa kama dodoki
Kama umenipatia vile
 
Ukitaka kujua kama tatizo lipo kwanza tafuta chombo kingine kilichokamilika ukiona unapiga zaidi ya 2 ujue uko njema!! ila kama na mechi ya ugenini itakushinda basi tafuta wataalamu wa afya
 
Ushauri wa mabaharia huu.
 
Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla.

Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja.

Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara nne lakini kwa kipindi cha hivi karibuni hari imekuwa tofauti jambo linalotishia usalama wa ndoa yangu.

Siku hizi nikifanya tendo la ndoa siwezi kurudia mara ya pili au ya tatu kwanza napoteza hamu na uume unashindwa kusimama hata nijisumbueje SIFANIKIWI KURUDIA na wakati wa asubuhi nakosaga hamu kabisa jambo unakuta mke wangu ananihitaji.

Ni seme tu kwamba hili si tatizo la nguvu za kiume kwani nguvu za kiume ninazo niko Sawa kwa hiyo round Moja inaweza kunichukua dk 15-40 au zaidi.

Ndugu naomba msaada wenu chanzo cha hili tatizo ni nini na tiba yake ni ipi?

Tafadhari jokes tuweke pembeni!
Umri wako huja sema
 
Dalili za upungufu wa nguvu za kiume
1. Kushindwa kufanya tendo la ndoa
2. Kushindwa kurudia tendo
3. Kukosa hamu ya tendo
4. Kutosimamisha uume sawasawa
5. Uume kulegea wakati wa tendo

Nakushauri fanya mazoezi sana kuongeza mzunguko wa damu mwili mzima. Hayo mengine wanayokuelekeza wadau ni uzushi tu. Halafu kubali una tatizo la nguvu za kiume wala sio dhambi mara nyingi umri unavyoenda na ukikosa mazaoezi na kushindwa ku-control vyakula utaishia kushindwa hata hiyo round moja kama ambapo inakutokea asubuhi
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom