Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla.
Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja.
Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara nne lakini kwa kipindi cha hivi karibuni hari imekuwa tofauti jambo linalotishia usalama wa ndoa yangu.
Siku hizi nikifanya tendo la ndoa siwezi kurudia mara ya pili au ya tatu kwanza napoteza hamu na uume unashindwa kusimama hata nijisumbueje SIFANIKIWI KURUDIA na wakati wa asubuhi nakosaga hamu kabisa jambo unakuta mke wangu ananihitaji.
Ni seme tu kwamba hili si tatizo la nguvu za kiume kwani nguvu za kiume ninazo niko Sawa kwa hiyo round Moja inaweza kunichukua dk 15-40 au zaidi.
Ndugu naomba msaada wenu chanzo cha hili tatizo ni nini na tiba yake ni ipi?
Tafadhari jokes tuweke pembeni!