Tatizo la kushindwa kurudia tendo la ndoa

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Messages
2,033
Points
2,000

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2017
2,033 2,000
Vijana mna shida sana. Unataka ufanye na mkeo jioni na asubuhi kila siku! Siyo maisha halisi hayo. Ubongo wako unamwona mkeo kama mke lakini inaonekana ubongo wa mkeo bado unakuona wewe kama boyfriend. Mzalishe mkeo awe busy na watoto...
Habari wanajamvi wataalamu, Madokta, Mabaharia na great thinkers kwa ujumla.

Bila kupoteza wakati naomba nijikite kwenye mada Moja kwa Moja.

Nina tatizo ambalo nashindwa kulielewa na kilipatia ufumbuzi? siku za nyuma nilikuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa na kurudi kiwepesi zaidi hata mara nne lakini kwa kipindi cha hivi karibuni hari imekuwa tofauti jambo linalotishia usalama wa ndoa yangu.

Siku hizi nikifanya tendo la ndoa siwezi kurudia mara ya pili au ya tatu kwanza napoteza hamu na uume unashindwa kusimama hata nijisumbueje SIFANIKIWI KURUDIA na wakati wa asubuhi nakosaga hamu kabisa jambo unakuta mke wangu ananihitaji.

Ni seme tu kwamba hili si tatizo la nguvu za kiume kwani nguvu za kiume ninazo niko Sawa kwa hiyo round Moja inaweza kunichukua dk 15-40 au zaidi.

Ndugu naomba msaada wenu chanzo cha hili tatizo ni nini na tiba yake ni ipi?

Tafadhari jokes tuweke pembeni!
 
jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
6,734
Points
2,000

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
6,734 2,000

naam, wewe unatombana mara nne unatafuta nini?
hiyo K ni kama puto, hata upige vipi huikomoi wewe piga chao kimoja cha dakika mbili usalirozari ulale
 
Fuqin

Senior Member
Joined
Dec 2, 2018
Messages
159
Points
250

Fuqin

Senior Member
Joined Dec 2, 2018
159 250
Una tatizo la gesi... Au damu yako haijachangamka.... Sasa tafuta chai ilowekwa tangawizi kaliii unywe nusu saa kabla ya mechi then upige mechi.... Mimi Nina tatizo kama lako ila hyo ndo dawa yangu
 
Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
768
Points
1,000

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
768 1,000
Hizi tips zitakusaidia
√Relax,relax,relax,punguza mawazo ya mambo yako,lisilowezekana leo kesho Inshaallah litafanikiwa,usijipe stress katika kichwa chako,stress ni chanzo cha underperformance..
√Fanya mazoezi,sehemu za nyonga na misuli ya mapaja,usijifanyie tu mazoezi ili mradi,mazoezi yako yahusu eneo la tumbo kushuka chini (japo sio mbaya kama utakimbia round kadhaa)
√Lishe baba,kula mlo mzuri,balance diet,punguza kula vyakula vya mafuta
√Tumia local busta i.e mihogo ya kutafuna,ndizi mbivu,maji ya tangawizi mixer iwe kali kiasi,mdalasini+asali mbichi,punje 5 za vitunguu swaumu,ponda then meza kwa maji glas moja dk 10 kabla ya gemu,juisi ya tikiti na busta zingine (usitumie busta za viwandani/pharmacy)
√Jiamini,muandae mpnz wako na yeye ashiriki kukuandaa vya kutosha,ikiwezekana ajue tatizo ili awe sehemu ya msaada wakati wa tendo,hii itakusaidia maana atakuwa anaziamsha ashki zako pale atakapokuona unawahi kufika au uume unaelekea kukosa nguvu...
 
Forum statistics

Threads 1,366,460
Members 521,454
Posts 33,369,700
Top