Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

financial services,
1. Punguza matumizi ya nyama ng'ombe na mbuzi au kondoo
2. Kula dona na punguza ulaji wa sembe na wali
3. Dawa za minyoo kutumia mara ya mwisho lini? Tumia dawa za minyoo, tumia ketrax baada ya siku saba rudia dozi.
4. Jitahidi matunda na mboga za majani
5. Ratiba ya kula uifuate.
6. Muda wa kwenda toilet uwe na ratiba
 
pole sana ndugu.hospitali umeenda lkn?
Sijawahi kwenda hospital specifically Kwa ajili ya tatizo hilo,ila nakumbuka nilikua naumwa malaria, nikamgusia doctor kwamba huwa napata constipation pia, akanishauri tu ninywe Maji mengi + matunda ,labda niende Kwa ajili ya hiyo sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom