Tatizo la kula/kutafuna kucha

Mimi hata sijui nisemeje maana najua matatizo kibao yananikabiri na nature ya kazi yangu ndo hatari ila Mara nyingi ni psychosocial behavior kindly like ukichaa flani kuna mdau hapo huu ameelezea vizuri sana bila tatizo linakuja pale kwenye kupata hizo nails paint maana zina kagharama kidogo na kosa ukizitoa utatafuna mpaka utajuta
 
Ushauri mzur asnte.
 
sio rahisi kuacha ila jitahidi kuiweka busy mikono yako utaacha taratibu kula kucha.
 
mimi ndo huwa natenga kabisa kwamba kidole hiki ni cha jumatatu, hiki cha jumanne hiki jumatano mpaka jumapili ili kuhakikisha kuwa nikiwa nang'ta hizi basi nyingine zinaota na kuwa na mzunguko mzuri ila sku izi najitahidi naanza kuacha acha
 
Kama kichwa kinavyojitaja,

Nina swali juu ya hili swala kwa sababu cjui sababu ya kupelekea mtu kutafuna kucha na pia ningependa kujua tiba yake kwe sababu ni jambo ambalo limenikumba na nahitaji kuacha.

Naomba msaada wenu!!
Hizo ni stress mwone dr wa saikologi akusaidie
Same applies to me, nahitaji sana huo msaada jaman nishakuwa muathirika kabisaa
 
Kuna rafki angu akijihisi yuko mwenyewe anakula kamasi nishamuona mara nyingi ila nakausha.sijui ni ugonjwa gani huu me nahisi labda ana upungufu wa madini chumvi mwilini au kisaikojia
Hii dozi mpya Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumia bablishi zisizo na Sukari badala ya vizipo
Mimi tatizo langu ni kula kizibo cha kalam(pen)yaani siwezi kukaa na pen bila kuitafuna kizibo,kiasi kwamba ofisi nzima wanajua pen zangu.nimejizuia nimeshindwa.mradi hainidhuru nimeona niache hali kama ilivyo.
 
vipi wale tnaotafuna lips kwa ndani?
hii ni nini au ni mastress pomoni....
 
Kitaalam walaji wa kucha huwa wana lack madini chuma. Hivyo basi ili kuacha hii tabia ya kula kucha ni vema mtu akafanya mpango wa kula dagaa za kutosha kwa mfululizo kwa.mda wa mwezi mmoja. Hii imemsaidia sana jamaa yangu alikuwa anakula.kucha hadi zinavuja damu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…