Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

Sasa nini kinazuia mpaka sasa wasikamilishe kazi??
 
mkuu umetusahau na sisi washezesha Play Station biashara iko Closed dah
 

Samahani mkuu hivi wewe unaishi Tanzania?
 
Fabolous mm ni mtanzania na ni mtafit wamambo ambayo yamekuwa ni magumu kwa watanzania
 
Kwani hii nayo ni nchi ?si tupo kisiwani tu loh! Inamana nchi haina wataalam?? Pesa?? Wawekezaji?? Viongozi?? ....?? Alafu baado wanatuambia viwanda kila mtaa! khaaaa!! Ngooja nipite miyee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…