Tatizo la kukataliwa na wasichana

Tatizo la kukataliwa na wasichana

ifudi

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
18
Reaction score
5
Ndugu zangu kila ninapotongoza wasichana wananikataa.

Sijui sababu ya kukataliwa mwishowe huwa naishia kupiga punyeto au kununua dada poa

Nisaidien ndugu nipate technic nataka niwe na msichana wangu Peke yangu.
 
Here boy......here.......
 
Attachments

  • 1439987255168.jpg
    1439987255168.jpg
    12.1 KB · Views: 1,177
Daaaah
Hebu chunguza yafuatayo.
Unapiga mswaki?
Unanuka kikwapa?
Au unafuaga nguo vizuri?
Unapiga pasi?
Miguu yako inatoa harufu ukivaa viatu?
Unanyoaga nywele za kichwani na kidevuni na mashavuni?
Una mkwanja?
Kama majibu ya maswali yote haya ni NDIO basi nadhani inabidi ukasafishiwe Nyota yako kanisani.
Sio Bagamoyo.
Tuanzie hapo kwanza
Halafu kumbuka kuweka umri wako hapa wakati unajibu maswali haya.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
hata domo zege hupata mwanamke...jicheki vizuri labda unatoa harufu mbaya mbele za watu..(no.one turn off)
 
Ndugu zangu kila ninapotongoza wasichana wananikataa.

Sijui sababu ya kukataliwa mwishowe huwa naishia kupiga punyeto au kununua dada poa

Nisaidien ndugu nipate technic nataka niwe na msichana wangu Peke yangu.
wa peke yako HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom