Tatizo la kukataliwa na wasichana

Tatizo la kukataliwa na wasichana

Ndugu zangu kila ninapotongoza wasichana wananikataa.

Sijui sababu ya kukataliwa mwishowe huwa naishia kupiga punyeto au kununua dada poa

Nisaidien ndugu nipate technic nataka niwe na msichana wangu Peke yangu.

kama shida yako ndio hii endelea kupiga nyeto tu kwa maana hata hao madada poa sio wako peke yako
 
Ndugu zangu kila ninapotongoza wasichana wananikataa.

Sijui sababu ya kukataliwa mwishowe huwa naishia kupiga punyeto au kununua dada poa

Nisaidien ndugu nipate technic nataka niwe na msichana wangu Peke yangu.

Usihofu dogo, kwanza unavyoandika inaonyesha you are still immature - a juvanile or more a child. Kwa mwanamume hasa, kutongoza na kufanikisha ni vitu viko ndani ya damu yetu, pesa inafuata baadae. AMINI USIAMINI.

Always keep yourself smart and elegant, you'll get attention of most beautiful ladies, use charming words (confidently) that you 'love her sincerely from down deep of your heart' say it looking into her eyes. Avoid pomps: 'oh nina pesa, nimesoma mpaka Ulaya, baba tajiri, nina shell nyingi Kibaha etc', hawahitaji hilo, wanapenda kusikia hilo neno la 'nakupenda' mengine ya kupeana dates yanafuata baadae.

Hakuna mwanamke au msichana atakukataa akiona you mean what you're saying, jaribu kwa kujiamini utafanikiwa. Hawa wasichana wanatuhitaji sisi zaidi sisi tunavyowahitaji.

Jiamini dogo ifudi.

 
waambie wakikukubali utawanunulia Lap top ......... wakikataa tena hapo we endelea tu kupiga nape nauye!' mana kutakua hamna namna nyingine.
 
Inawezekana hujui kutongoza, kama unaacha kunyoosha maelezo unaanza kumuuliza majina yake ya utoto hadi ya nyanya zake waliokufa, kwani wasikutoe balu??? hebu sema huwa unatongozaje???

Naomba nikutongoze wewe hapa hapa kwenye jamvi, tumfundishe huyu mtoa mada jinsi ya kutongoza.
 
Dah kila mwanamke unakuwa unamuangalia anataka nini…. Kuna wengine wanapenda direct wengine in direct… kupata manzi sio kazi issue ni kummaibtain ukawa number one kwake… I think kama mwanamke hamjuani hata ukimpa hela itakuwa ngumu pia kwanza jenga urafiki nae chemistry ikikaa fresh then fanya mambo… unajua wanawake wengi wanapenda shopin… hebu mwambie muende shopin.. Then… other day lunch n so on…. Hapo tayari umejenga himaya nzury
 
Back
Top Bottom