Tatizo la kukataliwa na wasichana

Tatizo la kukataliwa na wasichana

Knowledge + confidence + ambitions + mean stigity/swag/style(gear and character) = Any chick you want.

Hawana vigezo hivyo hapo juu....silaha yao ni hela tu! wanatoa hela na bado tunawagongea mademu wao sana tu!

vigezo vipi tena PRONDO; hebu Atoto and Miss Chagga waje huku wakusaidie naona hao ndo utawaelewa.
 
Hawana vigezo hivyo hapo juu....silaha yao ni hela tu! wanatoa hela na bado tunawagongea mademu wao sana tu!

sio kweli labda wanaopewa hela na bado wanagongwa sio wachaga.

Miss chagga na atoto njoo mchangie.

Unategemea kumpa Mza... hela tu bila mapenzi uache kugongewa???

Prondo proove hilo.
 
mke tu hayupo wa peke yako sembue demu wa peke yako. we sema unataka demu wa kukupunguzia ukwasi. ukiwa nae wako akitoka si wako
 
Kwa wanawake wa sasa walivyo na nyege huwezi kupata mwanamke wako wa pekee , punyeto tu ndiyo linaweza kuwa lako alone.
 
Katiba mpya ikipitishwa nyeto aka mkono,Kosa la jinai adhabu yake sawa sawa kabisa ya kukutwa na anaejiuza mwili..
 
Ni kawaida man, wewe endelea kutongoza tu, usikate tamaa, inakufanya uwe na uzoefu zaidi na kuwasoma wanawake zaidi.."usijiingize kutumie fedha kushawishi hiyo waachie watu wasiojiamini wanaocompasate udhaufu wao kwa kuweka hela mbele" and u will loose and undermine ur game and confidence...halafu i tell i what wakati mwingine shida inaweza kuwa kwa watongozwaji wala sio ww..so endelea na game..mtu akikataa brush off endelea kwingine..that how true men play their game..kuhonga na kuweka hela mbele achia watu wasiojiamini..
 
Jaribu wanawake, wasichana bado wanakua utapata kesi bure
 
Back
Top Bottom