Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

Beba chochote cha kula cha utundu...

Kuliko kugombania siti ya dirishani, ilihali unajua kabis hujala upepo ukikupiga muda mrefu unajisikia kufa sababu ya njaa...

Ndiyo maana usafiri wa ndege mnapewa misosi, baada ya kula with your neck pillow una relax :D:D
Neck pillow tayari ninayo

Nitakuwa nabeba hotpot ndio niinjoy safari

Kukaa dirishani muhimu, yan ukikuta sijakaa dirishani ujue nina haraka na bus lilijaa sikuwa na namna
 
+/- ila ukiwa na njaa hali inaweza kuwa mbaya zaidi mtu unakuwa na dalili ya hypoglycemia na hypotension yaan sukari na presha chini, wengi husweti sana, kupata uoni hafifu (bluired vision), kulegea nk, solution kubwa nunua baby walker yako iwe na a/c na wewe ndio uwe dereva, ukiwa una drive daily huwezi sikia hizo tabu hasa wale wanaopata tabu kwenye daladala hasa kutokana na msongamano, mnaugua magonjwa ya KIMASKINI sana 😄😄😄😄😄
Mkuu kwanini unatubonda hivyo jamani 😂😂😂😂
 
Neck pillow tayari ninayo

Nitakuwa nabeba hotpot ndio niinjoy safari

Kukaa dirishani muhimu, yan ukikuta sijakaa dirishani ujue nina haraka na bus lilijaa sikuwa na namna
Neck pillow yako haina kichwa... :D :D

Muhimu ni usisafiri with ana empty stomach...

Mimi dirishani hata siyo mpenzi, napenda siti ya nyuma ya dereva...
 
Neck pillow yako haina kichwa... :D :D

Muhimu ni usisafiri with ana empty stomach...

Mimi dirishani hata siyo mpenzi, napenda siti ya nyuma ya dereva...
Nikae nyuma ya dereva nawahi wapi?
Nakaaga kati huko hata uchogo wa dereva siuoni

Nitaiwekea kichwa kama cha yule nyoka…

Angalizo limezingatiwa..
 
Nikae nyuma ya dereva nawahi wapi?
Nakaaga kati huko hata uchogo wa dereva siuoni

Nitaiwekea kichwa kama cha yule nyoka…

Angalizo limezingatiwa..
Itapendeza sana...

Siku tukitumia usafiri wa umma kusafiri tukae nyuma kabisa...
 
Ndugu zangu nunueni hata pikipiki mkimbie hizo adha ndogondogo, nakumbuka mwaka 2010 nili faint pale tabata relini kwenye daladala ya kwenda segerea, mida ya jioni nimetoka mbezi, nmegonga ugali wa maana nafika stendi ya zamani ya ubungo, daladala chache watu wengi, nikakomaa nayo hivyohivyo, foleni ya relini si nikakata moto kwa kukosa hewa😄😄😄 hakuna alie hata nipisha siti au kunisogeza dilishani zaidi zaidi walisema konda kuna mtu wako afa huku, nmekuja zinduka kumbe nmemlalia mzee mmoja mgongoni, toka siku hiyo niliapa nikiwa kwenye basi la umma hata aingie mzee, kikongwe au mtu wa aina gani sijui simpishi siti, dar kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe
 
Me nahisi uwa ni mwili unapungukiwa maji + njaa

Lily Tony
kuna mpenzi wangu nilikua namuambia sana hili

unaumwa safarini sababu ya ujinga wako,yeye anaondoka asubuhi hajala chochote kwa hofu ya kuharibikiwa tumbo..safari ndefu anaogopa kunywa kitu sababu ya kuogopa mkojo.

akianza safari ikafika saa nne tu yuko hoi anaanza sema anaumwa motion sickness

ilifika hatua nikaacha hata kumuelekeza na akasema siku hizi simjali akaniacha

watanzania wengi tunaumwa ujinga kabla ya hayo magonjwa ya kiingereza,mwili siyo jiwe hilo lazima uupe chakula na maji ndio uanze safari...

kula vitu vikavu vikavu na vivywaji vyenye sukari zaidi kuupa mwili nguvu...

Sent from my BLA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kupima Presha labda ukiwa mazingira hayo presha huongezeka
Au kama kwenye familia yenu kuna mtu anasumbuliwa na presha??
Au kama kuna tatizo la kifafa,(epilepsy)??
jaribu sana kujitib mwenyew kisaikolojia tatizo lilianziag wapi mwanzo kabisa?? Ukisema uende hospitall ni kweli kun dawa za kutuliz ubongo utajiisi ubongo umetulia tuli. Pia ushauri na nasaha .
So headphones 🎧 zinaweza msaidia Ili kuzuia sauti zinazoathiri usawaziko wa fikra Ili asipate tabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom