Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,195
- 188,705
Neck pillow tayari ninayoBeba chochote cha kula cha utundu...
Kuliko kugombania siti ya dirishani, ilihali unajua kabis hujala upepo ukikupiga muda mrefu unajisikia kufa sababu ya njaa...
Ndiyo maana usafiri wa ndege mnapewa misosi, baada ya kula with your neck pillow una relax
Nitakuwa nabeba hotpot ndio niinjoy safari
Kukaa dirishani muhimu, yan ukikuta sijakaa dirishani ujue nina haraka na bus lilijaa sikuwa na namna