Tatizo la kufungua Tunnel guru

Tatizo la kufungua Tunnel guru

Tunnelguru wameshaanza kushtukiwa na mitandao husika kwa ss voda imekuwa ngumu kumeza aseee waiting serve reply
 
Tunnelguru wameshaanza kushtukiwa na mitandao husika kwa ss voda imekuwa ngumu kumeza aseee waiting serve reply
Ni kweli hapa wanatembelea mtandao mmoja tu na ule mtandao sijui hawana server jamani maana huo mtandao hata ukisearch server hupati ila kwa voda nishagundua server zao ili tunnelguru iendelee kurika lazima upate server zake na server ziko verry speed
 
Toka lini imeanza kuzingua mi nipo na voda kwa tunnelguru tena nakimbiza kwa server .. Tunnelguru server futa weka server za kueleweka .. Authetication succesfull .. connection ipo
Hivi nani anawauzia hizi premium account asee.. mtu unataja jina la mtandao public kabisa halafu unategemea services ku last long smh!
 
kweli sema ku share sio mbayaa
Tatizo sio ku share tatizo ni kutaja company public na unajua daily system admin wa hilo mitandao wanashinda humu unategemea nini.. Wakati it's matter of seconds kuziba hizo roophooles halafu unaanza ooh haifanyi kazi sijui nini nini..

Hii ni moja ya sababu watu wana tricks zinafanya kazi zaidi ya mwaka na huwezi ku share na mtu humu ndani, unakula alone tu maana haina namna.
kweli sema ku share sio mbayaa
 
hapo

hapo umeongea mkuu ujue kutaja cmpny mbele ya public ni kosa kwanza kwenye ishu kama hizi, sema any way ngoja na mi ni pambane kujua elimu hiyoo zaidi maana sijawai hata kui jaribu
 
Back
Top Bottom