bado inafanya kazi?kuna tunnelguru nyengine inarun chini kwa chini.
zima pc halafu washa
au fungua task manager click more details iwe kubwa kisha chagua process imeandikwa java ifunge then kafungue tena.
kwani ilitakiwa isifanye mkuu? hii ipo miaka mingi tu, inalinda privacy yako online.bado inafanya kazi?
ngoma ngumu sasa HV kila upande kumebanwa jiunge kifurushi cha kawaida tuTunnelguru wameshaanza kushtukiwa na mitandao husika kwa ss voda imekuwa ngumu kumeza aseee waiting serve reply
Hapa nakula kwa halotel kimya kimya naona hawashtuki hawa washkaji asee wamechili mnoongoma ngumu sasa HV kila upande kumebanwa jiunge kifurushi cha kawaida tu
nipe kipindi bxHapa nakula kwa halotel kimya kimya naona hawashtuki hawa washkaji asee wamechili mnoo
halotel imeanza kuzingua kwa tunnel guruHapa nakula kwa halotel kimya kimya naona hawashtuki hawa washkaji asee wamechili mnoo
Ni kweli hapa wanatembelea mtandao mmoja tu na ule mtandao sijui hawana server jamani maana huo mtandao hata ukisearch server hupati ila kwa voda nishagundua server zao ili tunnelguru iendelee kurika lazima upate server zake na server ziko verry speedTunnelguru wameshaanza kushtukiwa na mitandao husika kwa ss voda imekuwa ngumu kumeza aseee waiting serve reply
Bado tunakula mkuu ni kubuni namna ya kupata server na tunnelguru inaendelea kurika tenangoma ngumu sasa HV kila upande kumebanwa jiunge kifurushi cha kawaida tu
Toka lini imeanza kuzingua mi nipo na voda kwa tunnelguru tena nakimbiza kwa server .. Tunnelguru server futa weka server za kueleweka .. Authetication succesfull .. connection ipohalotel imeanza kuzingua kwa tunnel guru
naomba nielekeze bossToka lini imeanza kuzingua mi nipo na voda kwa tunnelguru tena nakimbiza kwa server .. Tunnelguru server futa weka server za kueleweka .. Authetication succesfull .. connection ipo
mkuu nipe maujanja na mimiHapa nakula kwa halotel kimya kimya naona hawashtuki hawa washkaji asee wamechili mnoo
Hivi nani anawauzia hizi premium account asee.. mtu unataja jina la mtandao public kabisa halafu unategemea services ku last long smh!Toka lini imeanza kuzingua mi nipo na voda kwa tunnelguru tena nakimbiza kwa server .. Tunnelguru server futa weka server za kueleweka .. Authetication succesfull .. connection ipo
kweli sema ku share sio mbayaaHivi nani anawauzia hizi premium account asee.. mtu unataja jina la mtandao public kabisa halafu unategemea services ku last long smh!
Tatizo sio ku share tatizo ni kutaja company public na unajua daily system admin wa hilo mitandao wanashinda humu unategemea nini.. Wakati it's matter of seconds kuziba hizo roophooles halafu unaanza ooh haifanyi kazi sijui nini nini..kweli sema ku share sio mbayaa
kweli sema ku share sio mbayaa
hapo umeongea mkuu ujue kutaja cmpny mbele ya public ni kosa kwanza kwenye ishu kama hizi, sema any way ngoja na mi ni pambane kujua elimu hiyoo zaidi maana sijawai hata kui jaribuTatizo sio ku share tatizo ni kutaja company public na unajua daily system admin wa hilo mitandao wanashinda humu unategemea nini.. Wakati it's matter of seconds kuziba hizo roophooles halafu unaanza ooh haifanyi kazi sijui nini nini..
Hii ni moja ya sababu watu wana tricks zinafanya kazi zaidi ya mwaka na huwezi ku share na mtu humu ndani, unakula alone tu maana haina namna.