Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Jamani hii simu yangu yenye ujanja ujanja (smartphone), baada ya kuitumia muda mrefu inafika wakati ambapo nikibonyeza app flani inafungua app ingine!
Au kama nina browse mtandao basi kuopen link au kuclick over something inakuwa ishu maana screen inajiscroll kwa kasi mpaka page ya mwisho wakati nilibofya kidogo tu!
Lingine ni "Google search kufunguka hovyo kila nikitouch kwenye screen, menu au shortcut yoyote. Ndivyo zilivyo au ni yangu tu?