Ni nini hii mkuuShetshet at work
Kazi zote nne unachukiwa wewe tu???Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi
Shida inaweza kua ni nini
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu
Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha
Natanguliza shukran zangu
Ipo siku UTANIGWA na hao unaowaita wahuni.juzi juzi TU nilikuwa sehemu nimekaa na wahuni tunakunywa visungura na Mimi ndio mnunuaji kwa sababu unakuta asilimia kubwa ya wahuni HAWANA pesa......nitaendelea baadae
Hapana sina connection ya hukoUmejaribu kwenda kwa mtaalam wa jadi ?
Ndo maana nimekuja kutafuta ushauri niondokane na hii changamotoKazi zote nne unachukiwa wewe tu???
Jitafakari mkuu.
uh nina tatizo kama lako mkuu, na mm ni intermediate boss, kuna mtu mmoja ananichukia balaa, sasa anafanya vikao almost kila siku kunijadili either nje ya ofisi ama ndani ya ofisi na mm ni boss wake. And shida ni kugombea nafasi niliyonayo. Ananiroga mno, ni nafasi ya uteuzi, na mm ndo boss wakeHabari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi
Shida inaweza kua ni nini
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu
Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha
Natanguliza shukran zangu
Pole mkuuD
uh nina tatizo kama lako mkuu, na mm ni intermediate boss, kuna mtu mmoja ananichukia balaa, sasa anafanya vikao almost kila siku kunijadili either nje ya ofisi ama ndani ya ofisi na mm ni boss wake. And shida ni kugombea nafasi niliyonayo. Ananiroga mno, ni nafasi ya uteuzi, na mm ndo boss wake
Sio rahisi mtu kukuchukia kabisa kwanza lazima akuogope automatically ,yaani ile watu hawajui unakaa wapi ?kabila gani ? Una familia au laah?Mimi ni intorovent huwa siongei sana na mkimya kupitiliza
Nimewaza kama watanzania waliowengi kwamba kuna mambo ya kiroho hayako sawa, ila kwa ushauri wangu jitahidi kuwa serious uwe unaongea mara chache sana.Ni nini hii mkuu