TATIZO LA KIBOFU CHA MKOJO (PROSTATITIS)
Tatizo hili wengi wanalitambua kama tatizo la kibofu cha mkojo.
Picha ya chupa hizo hapo chini ni virutubisho ambavyo vinasaidia kwa kiwango kikubwa tatizo hili.
Prostate ni kikokwa kidogo ambacho kipo chini ya kibofu cha mkojo. Kazi ya Prostate ni kutoa maji maji kama maziwa ambayo kazi yake kubwa ni kubeba na kusafirisha mbegu za kiume kupitia njia ya mkojo na kwenda sehemu inakohitajika.
Jinsi umri wa mwaume unavyosonga mbele, prostate huwa ina kawaida ya kuongezeka ukubwa (kuvimba), aidha kutokana na upungufu wa lycopene (inapatikana kwa wingi kwenye nyanya) na infection au sababu nyengine, kama vile maabukizi ya vijidudu (fungi).
Kuvimba kwa prostate husababisha kugandamizwa kwa kibofu cha mkojo kiasi ambacho mkojo kidogo ukiwa ndani ya kibofu mtu hudhani kuwa kibofu kimejaa mkojo kumbe siyo.
Dalili za mtu mwenye tatizo hili ni kama ifuatavyo:
1. Kubanwa na mkojo mara kwa mara
2. Kwenda haja ndogo usiku mara kwa mara
3. Damu kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5. Maumivu baada ya kukojoa au wakati mtu anamalizia kukojoa
6. Kushindwa kukojoa
7. Maumivu wakati mbegu za kiume zinapotoka
8. Maumivu kwenye hips, mgongo, nyonga au mapajani
9. Matone ya mkojo kutoka yenyewe au mtu kushindwa kujizuia na kukuta mkojo umetoka
Mtu mwenye shida hii anaweza akajihisi kama amepungukiwa na nguvu za kiume (sperm count) kitu ambacho kwa asilimia kubwa si kweli. Hii husababishwa na ile hali ya yale maji maji yanayosafirisha mbegu za kiume kutokuwepo hatimaye mbegu hizo huishia njiani.
Hali ikizidi kuwa mbaya inaweza ikasababisha mtu kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuiondoa prostate hiyo, au inaweza ikapelekea mtu kupata kansa (prostate cancer)
Wanaume mnashauriwa kuwa na mazoea ya kula nyanya kwa wingi (iliwe bila kupigwa au kuongezwa kitu chochote kama vile chumi), papai, zabibu na pera kama kinga. Ukiweza kula nyanya kwa wingi kila siku, itakuwa ni vizuri.
Tunapatikana maeneo ya Mwenge karibu na huduma zifuatazo:
1. Ofisi ya TRA, au karibu na
2. Afya Dispensary, au karibu na
3. Mjasiriamali kwanza, au karibu na
4. Kanisa la Sabato au karibu na
5. Kanisa la Lutherani au karibu na
6. Uwanja wa mpira wa Mwenge.
Wasiliana nasi kwa no 0755-522018 kwa maelezo zaidi