Kuna kawaida ya kusanikisha Windows kwa mazoea tu, yaani kubofya "Next" bila hata kuona machaguo mengine. Kuna uwezekano kibodi hiyo imetengenezwa maalumu kwa lugha tofauti na AmE.
Kwanza hakiki ya kibodi iliyopo. Halafu nenda "settings", "keyboard and language".