Tatizo la jini mahaba

Mchana majukumu mengi mkuu!

Ndio nimepata mda wa kuperuzi wakati nacheki BBC hapa.

By the way mimi ndio natakiwa niwe muoga maana naishi mwenyewe na nyumba ni kubwa.

Au wew hata maneno yanakukosesha usingizi?
Twanga kitunguu swaumu huwe unajipaka wkt wa kulala,pia jifanyie visomo vya rukya,usiende kwa manabii ni matapeli
 
Yakisengerma san ayo mapepo tena yanakuja unahisi kama mtu anakulazimisha kufanya nae na huwezi kumzuia ila ukikemea anatoka ukijilegeza unajikuta umechafuka, pia ukumbuki sura ya uyo mwanamke

Jitahidi uwe msafi, maombi ukihusi iyo hali ongea kama unaongea na mtu mfukuze , wanakusababisha usipate pesa,, usidumu ktk mahusiano, usikumbuke kuwa na watoto

Akikikushindwa kigizagiza anakuja ki stranger utajikuta unaanzisha mauhisiano na mtu alafu mnapotezana kabisaa na humpati
 
Alafu yanaambukiza umaskini na ufukara..hivi vijitu wanastahili waangamizwe kabisa wasiwepo..hapa mimi namlaamu Mungu kwasababu hivi viumbe yaani shetani, majini,mapepo na wachawi..wanamwingilia mwanadamu pasipo kujua au hata kuhisi katika ulimwengu wa roho..na mwanadamu anauwezo wa kukabiliana na adui katika ulimwengu wa mwili na nyama kwa kutumia macho yake mawili,ndio maana katengeneza silaha mbalimbali kama mabomu,bunduki,nyuklia n.k..ulimwengu wa roho mwenye uwezo wa kuwalinda viumbe vyake vinavyoonewa na ibilisi ni Mungu.

Huu uonevu na vita ya shetani,mapepo na majini dhidi ya wanadamu wasio kuwa na hatia katika ulimwengu wa roho ni injustice and total unfair.
 
Wewe ni dini gani?
 
Wewe una uchawi wa kiagano ndani ya damu yako,vipi ulishawahi kwenda kwa mganga,mpiga ramli,msoma nyota hapo kabla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…