Tatizo la jini mahaba

Amen nimajaribu kwenye maombi ila huwa vinatulia na baadae kurudi (hali ya kuwashwa)
Luka 11:24-26

Pepo mchafu akimtoka mtu anazunguka akitafuta mahali pa kupunzika, asipopata anasema, kwanini nisirudi kwenye nyumba yangu, akirudi akikuta Ile nyumba ni safi na imepangwa, huondoka na kwenda kuchukua wenzake Saba wachafu na kuingia kuishi humo, hali sasa ya yule mtu inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.
 
habari wana jukwaa,
Natumai sote ni wazima wa afya njema, na poleni kwa wenye changamoto za aina mbali mbal...
Kama nimekuelewa jinsi ulivyo andika. Unajihakikishia unalo tatizo la jini mahaba?
Kwanza ulitakiwa upate mtaalamu wa maombi au mganga wa jadi mwenye uwelewa wa homa yako.

Hap Jf pamejaa wakatisha tamaa wengi. Na kila mchangiaji ni mfasaha wa kukupoteza na kukuchelewesha.

Msaada umeomba vibaya kwa kua tayari umeshajipatia majibu kichwani mwako.
 
Wacha weeeee!!!! Anajishtaki kwa msukule sasa! Kama kuoga si akaende bafuni akaoge!
 
Nasikia majini hayapendi vitu haramu aanze kula kitimoto kama hali,na kama jini litakuwa bishi itabidi aanze kuvuta bangi ili kulichanganya kabisa halitakaa limsahau kwa jambo atakalolifanya kwa kulivutisha bangi..!
Kabisa mkuu yaani hapo apige kitimoto akirudi home piga bangi kete 2 alale, jini mahaba likimtokea likitaka mkuyenge alipige mpaka tigo hapo halitarudi tena
 
Hahaha ni serious mkuu, sasa kuoga miaka 12 almost ni kweli siogi nikatakata?
Acha nijaribu pia ushauri wako mkuu
Ndugu, umri wako ulipofika, unachowaza ndicho kinachotokea, acha uzembe wa kufikiria,, sijui majini, achaaaaa, Badirisha mtazamo wako wa maisha. Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea. Chukua ushauri huo.
 
Kabisa mkuu yaani hapo apige kitimoto akirudi home piga bangi kete 2 alale, jini mahaba likimtokea likitaka mkuyenge alipige mpaka tigo hapo halitarudi tena
Yaaani kumbe na we wale wale. Akishindwa atuite tumusaidie. Hayo tunayapigaga miti kishenzi na hayachomoki bila mimba. Nashangaa analalamika yeye
 
Ndugu, umri wako ulipofika, unachowaza ndicho kinachotokea, acha uzembe wa kufikiria,, sijui majini, achaaaaa, Badirisha mtazamo wako wa maisha. Aliwazalo mjinga ndio linalomtokea. Chukua ushauri huo.
Tatizo mimi ndio naliona, sijakuelewa unavyosema niache uzembe wa kufikiri na mtazamo nabadilishaje na bado mwili una shida?
 
peleka au omba kwa mods uzi uende kule ukurasa wa afya, unaweza kusaidika.

ukipata jambo la kula kimasikhara utuletee hapa, utasaidika pia
 
Upwiru uliopitiliza ndio mnaita jini mahaba
 
Sasa hapo umeshauri nn Mkuu au umenukuu alichosema.?
 
Okoka ,uokoke vinginevyo jini mahaba Huwa hatoki kirahisi na utakufa very poor and desperate ukitafuta tiba.
Nb usiende Kwa mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…