Tatizo la Iphone

Tatizo la Iphone

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
408
Wakuu mi nina kaiphone kangu kila nikisign in jf after one thread nikiwa nimesoma ninajikuta automatic nimesign out bila Hata ya kufanya hivyo.Pls naombeni mnijuze ni matatizo ya iPhone au ni mimi nakosea.
 
Nimetumia IPhone series zote na sasa Natumia IPhone 4 haina shida, ni kuizoea tu mkubwa.
 
Mkuu

Wakati unaponavigate thru JF threads, keep note unapoclick BACK button

Sometimes unakosea unaclick mara mbili au zaid hivyo simu inakutoa kana kwamba umesign out

Mi natumia BB imenitokea hivo kwa mda sasa nimegundua,

Try it m8t help

All the best
 
Back
Top Bottom