Tatizo la internet kwenye laptop

wilcoxon

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
1,094
2,831
Habari wadau?? PC yangu inasumbua internet nikiconnect kwa kutumia modem au simu, connection inakubali shida inakuja nikifungua hata Mozilla ili nisearch inaandika problem loading. Natatuaje hilo tatizo wadau?
 
Unstall mozila try again to install, ikibuma install opera or chrome altenativelly
 
clear cache and cookes
disconect antivirus
ondoa adds on kwenye mozila
angalia line yako kama inausajili wa kudumu au ishafungiwa
jaribu line ya mtandao mwingine
 
Habari wadau?? PC yangu inasumbua internet nikiconnect kwa kutumia modem au simu, connection inakubali shida inakuja nikifungua hata Mozilla ili nisearch inaandika problem loading. Natatuaje hilo tatizo wadau?
hapo inaonekana kuna proxy kwenye setting nenda kwenye internet option na toahizo proxy kwenye connection zote weka blank
 
Hiyo internet option naipata sehemu gani mkuu?
kwenye control panel
Capture.PNG

kama kuna proxy kama hizo au nyingine zozote kwenye connection yoyote iwe dial up au cellular or whatever zitoe usi mark kwenye kutumia proxy
 
kwenye control panel
View attachment 964169
kama kuna proxy kama hizo au nyingine zozote kwenye connection yoyote iwe dial up au cellular or whatever zitoe usi mark kwenye kutumia proxy
At least mkuu inaweza hata kufungua neno google shida ni kwamba siwezi kuendelea baada ya hapo nikitaka kusearch kitu chochote inaniletea haya maelezo
IMG_20181211_131529.jpg
 
At least mkuu inaweza hata kufungua neno google shida ni kwamba siwezi kuendelea baada ya hapo nikitaka kusearch kitu chochote inaniletea haya maelezo View attachment 964209
Hiyo Windows ni mpya !?
Computer umekuwa ukiitumia kwa muda gani au umeinunua kwa mtu!?

Endapo windows ni mpya, inawezekana aliyekuwekea katumia copy ya windows ambayo ni outdated sana.

Soln: Tafuta mtu akubadilishie hiyo windows na akufanyie installation ya drivers na kufanya update ya device drivers zote.
Kama umeinunua kwa mtu inawezekana ali-assign private IP address ktk computer so itabidi uiondoe.

Pia its possible hotspot unayoitumia ina weak signals kiasi request za computer zinakuwa delayed sana.

Uwanja bado mpana, PC zina issues nyingi na ili kupata msaada inabidi ujitahidi kutoa taarifa za kujitosheleza.

Eg: windows version, network driver zilizo ktk pc yako, check missing drivers kupitia device manager, check IP settings, account unayoitumia ina rights gani i.e. admin anaweza kukubania baadhi ya vitu kama ni PC ya kuazima au kama huna uelewa its possible ukawa blocked baadhi ya vitu au ukapewa limited access, firewall settings, etc
 
Back
Top Bottom