tatizo la internet kwa nokia asha

mischa

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
368
176
msaada kwa anaeweza tatua tatizo la internet kwa nokia asha,kila nikijaribu kuunga net inakata i have tried ever possible way nashindwa..msaada pls
 
Peleka kwenye kampuni ya simu ambayo umeweka simcard yao watakurekebishia kama ina hiyo huduma ya internet.
 
hzo cmu co znamatatzo co huku 2 ht mbele wanalalamika kuhusu swala la net nlioona kwenye coment za wa2 kwenye web flan hivi pole xana bt kwa vda nasikia znakubl
 
yah ni kweli simu za asha zilivosetiwa inakua automatic ukieka line ya simu setting zinakaa (hii ni bora kuliko kuunga)

Tatizo linakuja kwenye mtandao usiojielewa mfano tigo, i hope hata muuliza swali unatumia tigo kwenye asha yako hawa tigo setting zao za asha haziconect net na hata uwapigie hawarekebishi mimi kuwaungia simu za asha natumia prov

Muuliza swali kuna thread humu ya nyasiro amezieka prov nyingi tu utachotakiwa idownload kwa simu nyengine then jitumie kwa bluetooth ukishindwa nambie mimi ntakutengenezea
 
Back
Top Bottom